Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana.

Kuna wadada wameandika "hatimaye tumepata Rais wetu sasa" mwingine kaandika "Wanawake tunaweza huu ndo wakati wetu".
 
Kuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana....
Hata Mimi nimeliona hili Leo nilipokuwa kazini. Tena kwa nurses wasomi kabisa. Wanadai eti Sasa wanamme mtatufulia Hadi kabati zetu. Kisa tuna MH. Rais mwanamke, nikawajibu Kama Kuna mwanamme atafua chu**I kwa sababu hiyo itakuwa na limbwata ndani yake.
 
Jioni hii nilienda kumsalimia kiongozi mmoja ambaye pia ni mwanamke, katika stori zetu akaniambia wengi wa wanaoleta issue ya uanamke kwenye urais wa Samia ni wale feminists na opportunists ambao ukiwaangalia wengi wao ni single mothers which means they failed in family life tofauti na Samia licha ya madaraka aliyonayo bado akifika nyumbani anakua mama na sio Rais
 
Jioni hii nilienda kumsalimia kiongozi mmoja ambaye pia ni mwanamke, katika stori zetu akaniambia wengi wa wanaoleta issue ya uanamke kwenye urais wa Samia ni wale feminists na opportunists ambao ukiwaangalia wengi wao ni single mothers which means they failed in family life tofauti na Samia licha ya madaraka aliyonayo bado akifika nyumbani anakua mama na sio rais

Wameshaanza unyanyasaji wa kijinsia tena wa wazi kabisa sijui wakoje
 
Kinachonishangaza ni baadhi yao kufanya kama kusheherekea na sio kumtakia kila la kheri as if ni mpambano fulani SSH ameshinda na ndio umemfanya kuwa Rais, kumbe sio, ni katiba tu imembeba.. na tittle ya VP kwa Tz means VP anaweza kuwa Rais pale ambapo Rais atashindwa kuendelea kuwa kwenye hicho kiti kwa sababu ya kufa, afya isiyoruhusu au kujiuzulu, so no big suprise.

Anyway, Mama Samia chapa kazi, tunakutegemea.
 
Rais ahakikishe haki zetu wanaume zinalindwa maana wanawake washaanza kutunyanyasa wengine wameanza kutunyima hata mambo ya mahaba tafadhali hili liangaliwe sana.
Kama ukinyimwa Ni kawaida yako mzee hawa Ni wadhaifu tu hata iweje au awe nani mwisho wa siku lazma alale uchi
 
Jioni hii nilienda kumsalimia kiongozi mmoja ambaye pia ni mwanamke, katika stori zetu akaniambia wengi wa wanaoleta issue ya uanamke kwenye urais wa Samia ni wale feminists na opportunists ambao ukiwaangalia wengi wao ni single mothers which means they failed in family life tofauti na Samia licha ya madaraka aliyonayo bado akifika nyumbani anakua mama na sio rais
Umeua ndugu, kunywa bia utalipa mwnyw
 
Jioni hii nilienda kumsalimia kiongozi mmoja ambaye pia ni mwanamke, katika stori zetu akaniambia wengi wa wanaoleta issue ya uanamke kwenye urais wa Samia ni wale feminists na opportunists ambao ukiwaangalia wengi wao ni single mothers which means they failed in family life tofauti na Samia licha ya madaraka aliyonayo bado akifika nyumbani anakua mama na sio rais
Uongo wako tu huu usingle mother na u feminist wapi na wapi
 
Back
Top Bottom