Nishikeni jamani nisije ua ntu mie...mie ni anti ccm....Samia atupe vipaumbele wanawake jaman( this is serious)...Heko wanawake tufungue makampuni na sisi tubid hizo tender za serikali...kama najiona napewa tender ya kukarabati karavati na mifereji ya mkoa wa Moro🤗🤗...itabidi wanaume mtafute kasayari kenukwa 4yrs maana mshaanza jiuma uma..mtajuuutraaa!Wangari Maathai hebu njoo utie neno hapa tafahali. Wewe ni mwanamke wa shoka na kada mbobevu wa CCM!! 🏃🏃🏃🏃
98% ya feminists ni single mothers, na wengi wao huanza huo ufeminists baada ya kushindwa maisha ya ndoa, ni ngumu kukuta mwanamke ambaye ni happy married akawa kwenye hizo harakati zenu, mfano ni Samia Suluhu amefanikiwa nyumbani na ofisini, huwezi kukuta anapiga kelele za ufeminists ila hawa walioshindwa ndoa ndio kila siku wanafungua NGOs kupigania loosers wenzaoUongo wako tu huu usingle mother na u feminist wapi na wapi
Mkuu umekosea, 100% ya masingle mother ni Feminists98% ya feminists ni single mothers, na wengi wao huanza huo ufeminists baada ya kushindwa maisha ya ndoa, ni ngumu kukuta mwanamke ambaye ni happy married akawa kwenye hizo harakati zenu, mfano ni Samia suruhu amefanikiwa nyumbani na ofisini huwezi kukuta anapiga kelele za ufeminists ila hawa walioshindwa ndoa ndio kila siku wanafungua NGOs kupigania loosers wenzao
Waache tu waseme, maneno yao hayawezi kubadilisha katiba, inajulikana kwamba Mama Samiah ni Rais wa TanzaniaKuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana.
Kuna wadada wameandika "hatimaye tumepata Rais wetu sasa" mwingine kaandika "Wanawake tunaweza huu ndo wakati wetu"
Umeamua kupigilia msumari[emoji1787]RAISI WETU..[emoji7]
Hahaha daah wewe umejua kunichekeshaWanakwambia"kuna mijidume inasemaga hoo mimi siwezi kuongozwa na mwanamke haya sasa kikowapi"
Mwingine kanambia mimi"niguse ninuke shogaangu yupo Ukulu"
Akili zao ndipo zinapoishia,tuwazoee tu Mkuu.Kuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana.
Kuna wadada wameandika "hatimaye tumepata Rais wetu sasa" mwingine kaandika "Wanawake tunaweza huu ndo wakati wetu"
Hawajui kuwa hata Samia mwenyewe huwa anampigia magoti mumewe??.Hata Mimi nimeliona hili Leo nilipokuwa kazini. Tena kwa nurses wasomi kabisa. Wanadai eti Sasa wanamme mtatufulia Hadi kabati zetu. Kisa tuna MH. Raisi mwanamke, nikawajibu Kama Kuna mwamme atafua chu**I kwa sababu hiyo itakuwa na limbwata ndani yake.
[emoji276]RAISI WETU..[emoji7]
Si kweli usizalilishe wanawake walioamua kuzaaa na kulea watoto wao, usione watu hawana watoto ni mama wa marehemu, hafu jifunze feminism movement hudai haki za wanawake kupata elimu, uongozi, kufanya kaxi na n.k na hauhusiani na single parent hood98% ya feminists ni single mothers, na wengi wao huanza huo ufeminists baada ya kushindwa maisha ya ndoa, ni ngumu kukuta mwanamke ambaye ni happy married akawa kwenye hizo harakati zenu, mfano ni Samia suruhu amefanikiwa nyumbani na ofisini huwezi kukuta anapiga kelele za ufeminists ila hawa walioshindwa ndoa ndio kila siku wanafungua NGOs kupigania loosers wenzao
Bado kuna waprotestanti nao wanavizia kusikia mtu wao akiukwaa Umakamu ili waje hapa pia kuandika.............akili ni nywele kila mtu ana zake..........wasamehe na waelimishwe wataelewa wasije wakaanza kuleta mgawanyiko kwa ulimbukeniKuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana.
Kuna wadada wameandika "hatimaye tumepata Rais wetu sasa" mwingine kaandika "Wanawake tunaweza huu ndo wakati wetu".
Kwa nini umefikiria waprotestant na wakati kuna madhehebu mengi? Au una chuki nao mzee? Maana from nowhere unaanza kuwa attack. Unadhani ni nani wanastahili kuleta makamu wa Rais? Akiwa Muislamu we unapata shida gani? Akiwa Mprotestant wewe unapata shida gani? Huu wako ndo ulimbukeni wa KidiniBado kuna waprotestanti nao wanavizia kusikia mtu wao akiukwaa Umakamu ili waje hapa pia kuandika.............akili ni nywele kila mtu ana zake..........wasamehe na waelimishwe wataelewa wasije wakaanza kuleta mgawanyiko kwa ulimbukeni
Usizalilishe ❌Si kweli usizalilishe wanawake walioamua kuzaaa na kulea watoto wao, usione watu hawana watoto ni mama wa marehemu, hafu jifunze feminism movement hudai haki za wanawake kupata elimu, uongozi, kufanya kaxi na n.k na hauhusiani na single parent hood
Usimkosoe.. ushaambiwa shoga yao kaingia mjengoni[emoji23]Usizalilishe [emoji777]
Usidhalilishe [emoji736]
Hafu[emoji777]
Halafu[emoji736]
Kaxi[emoji777]
Kazi[emoji736]
Huwa nikiwa natoa darasa la lugha mnadharau. Kila mara natoa darasa la lugha ya Kiingereza na Kiswahili bure kabisa.