Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Hata Mimi nimeliona hili Leo nilipokuwa kazini. Tena kwa nurses wasomi kabisa. Wanadai eti Sasa wanamme mtatufulia Hadi kabati zetu. Kisa tuna MH. Rais mwanamke, nikawajibu Kama Kuna mwanamme atafua chu**I kwa sababu hiyo itakuwa na limbwata ndani yake.Kuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana....
Jioni hii nilienda kumsalimia kiongozi mmoja ambaye pia ni mwanamke, katika stori zetu akaniambia wengi wa wanaoleta issue ya uanamke kwenye urais wa Samia ni wale feminists na opportunists ambao ukiwaangalia wengi wao ni single mothers which means they failed in family life tofauti na Samia licha ya madaraka aliyonayo bado akifika nyumbani anakua mama na sio rais
Kama ukinyimwa Ni kawaida yako mzee hawa Ni wadhaifu tu hata iweje au awe nani mwisho wa siku lazma alale uchiRais ahakikishe haki zetu wanaume zinalindwa maana wanawake washaanza kutunyanyasa wengine wameanza kutunyima hata mambo ya mahaba tafadhali hili liangaliwe sana.
Umeua ndugu, kunywa bia utalipa mwnywJioni hii nilienda kumsalimia kiongozi mmoja ambaye pia ni mwanamke, katika stori zetu akaniambia wengi wa wanaoleta issue ya uanamke kwenye urais wa Samia ni wale feminists na opportunists ambao ukiwaangalia wengi wao ni single mothers which means they failed in family life tofauti na Samia licha ya madaraka aliyonayo bado akifika nyumbani anakua mama na sio rais
Uongo wako tu huu usingle mother na u feminist wapi na wapiJioni hii nilienda kumsalimia kiongozi mmoja ambaye pia ni mwanamke, katika stori zetu akaniambia wengi wa wanaoleta issue ya uanamke kwenye urais wa Samia ni wale feminists na opportunists ambao ukiwaangalia wengi wao ni single mothers which means they failed in family life tofauti na Samia licha ya madaraka aliyonayo bado akifika nyumbani anakua mama na sio rais