Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

Naona imekuchoma maana ndio mlivyokuwa mnafikiria bila kujali uwezo wa mtu na mahitaji ya wananchi. Wananchi wa Tanzania hawahitaji uwiano wa kidini, kikabila, kikanda au elimu zaidi ya kuwatumikia wao pekee kwa kiwango kilicho bora cha manufaa kwao.

Usipende kutoa tafsiri ya kinyumenyume kama kizabinazabina
 
Rais ahakikishe haki zetu wanaume zinalindwa maana wanawake washaanza kutunyanyasa wengine wameanza kutunyima hata mambo ya mahaba tafadhali hili liangaliwe sana.
Ahahaaa
 
Dada unaweza mipasho. Nmekuuliza swali la kiakili. Ila umejibu kimipasho. Tatizo lenu baadhi ya wanawake ndo hilo. Mnakuwa na mihemko. Kwa nini hudhan anaweza wekwa muislamu? Unakuja na mihemko na kubinua midomo....😁😁😁😁😁
 
Angalia Mkuu Usiteseke
Utaona Na Kusikia Mengi Sana
 
Angalia Mkuu Usiteseke
Utaona Na Kusikia Mengi Sana
 
Wajinga kweli....
kama ni wakati wao waambie wakamuombe hela
 
Hiyo kampuni mtakuwa wanawake watupu!!??
 
Hivi kuna watu wanawaza kwamba mwanamke anaweza kufanya lolote pasipo kumtegemea mwanaume, kwa taarifa tu hata kama kabaki mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka mitano, wanawake wapo radhi kusubiri yeye ndo atoe dira ya nini kinatakiwa kufanywa au uelekeo upi unafaa kufuatwa...
 
Usizalilishe [emoji777]
Usidhalilishe [emoji736]
Hafu[emoji777]
Halafu[emoji736]
Kaxi[emoji777]
Kazi[emoji736]

Huwa nikiwa natoa darasa la lugha mnadharau. Kila mara natoa darasa la lugha ya Kiingereza na Kiswahili bure kabisa.
Kikubwa umepata ujumbe hapa jukwaani sio sehemu ya kufanyia mtihani Mara nyingi Wana o correct wengine huwa na matatizo makubwa
 
R.I.P Magufuli.

Mama Samia kila la heri kwenye majukumu yako mapya.

Hizi nyingine ni porojo kama kawaida.
 
Kikubwa umepata ujumbe hapa jukwaani sio sehemu ya kufanyia mtihani Mara nyingi Wana o correct wengine huwa na matatizo makubwa
Ada ya mja hunena....uungwana ni vitendo. Kama kiswahili ambacho miaka zaidi ya 18 umezungumza hijakifahamu vizuri nini ambacho utakuwa unakifahamu? Najua english nayo ni shida. Kipimo cha akili huwa kinahusisha na mastering of language. Any language.

Ungekuwa unajielewa ungeshukuru na hata kunitumia msg ya asante umepata darasa la bure kabisa. Watanzania hampendi kusahihishwa ndo maana manendelea kubaki maamuma.
 
Hata ningekuwa na miaka hamsini ya kujua kiswahili au english humu JF nitazidi tu kuandika broken yangu na hamna wakunipangia maisha na nitakacho humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…