Wanawake mnakwama wapi?

Wanawake mnakwama wapi?

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,183
Reaction score
2,871
Uongo mwingine si uongo
FB_IMG_15823083744051461.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imagine aloyatengeneza hayo madude ili ajipatie riziki akaiona post yako unadhani kitatokea nin??
 
Kwa hiyo hapo usiku utaambiwa babe mimi napenda bila taa.
 
......Hilo tako la plastic Mara umepita msimbazi kuna mvua ... Umeteleza umepasua au umevunja matako. . . . hapo ndo utajua kwann wachawi wanakuwa waganga badae.
 
Hupendi wenye mizigo?, 1 out of 100, safi sana kumbe kuna wanaotupenda wenye flat screens hivi hivi, naanza kujiamini sasa[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
jiamini aisee, tunaopenda super models tupo, wenye mizigo sijawah vutiwa nao, sijui ni kwanini. Pia huwa najiuliza wanaopenda wenye mizigo huwa wanaenjoy nini hasa!

Mimi navutiwa sana na slims, na akiwa tall nampenda zaid, mana mimi kimo ninacho si haba, nina 6 ft na 5. Kitana cha 6*6 nalala diagonally, yani nikilala kwa wima miguu inatokeza nje.

Wow! Umetisha hapo miguu hadi inatokeza njee[emoji3][emoji3] mimi mwenyewe tallest ila siyo slim sana[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom