Wanawake mnanyoa fashion au mmefulia?

Wanawake mnanyoa fashion au mmefulia?

Dooh mimi kusuka tena hapana kwakweli, nikikumbuka yale mateso niliyokuwa napata in the name of "urembo" najisemeaga acha tu ninyoe hata kama gubichwa gwangu gubaya, kwanza mimi hata nikisuka bado ni sura ya baba hakuna penye uafadhali kwahiyo nikaona bora nichague kile chenye kitakuwa rahisi kwangu nacho ni kunyoa
Ila inakera sana kusuka
 
Back
Top Bottom