Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uswahilini ndio wapi?Huu ni ujinga wa kiwango cha juu nimewahi ishi uswahilini kuna haya mambo
Mitaa changanyikeni yenye nyumba mbanano mfano kwa Dar ni Vingunguti, Buguruni, Tandika Buza, Keko, Gongo la Mboto, Mbagala Zakeem, Tabata Mawenzi, Magomeni mapipa n.k, Kinondoni Manyanya n.k.Uswahilini ndio wapi?
Una MoyooooMitaa changanyikeni yenye nyumba mbanano mfano kwa Dar ni Vingunguti, Buguruni, Tandika Buza, Keko, Gongo la Mboto, Mbagala Zakeem, Tabata Mawenzi, Magomeni mapipa n.k, Kinondoni Manyanya n.k.
🤣🤣🤣🤗Kusugua mguu juu ya jiwe raha sana yaani. Magaga yanaisha kabisa.
yani ni shida kama umajijua umenona jistili basi vichwa vingine akili hamna☹️Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
Kwenye mbavu za mbwa 😆😆😆Uswahilini ndio wapi?
Kwanini wasema hivyo?Una Moyoooo
Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
Mkuu wacha kutuaminisha uwongo bwana, ebu tuwekee picha zao tuone kama ni kweli.Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩