Wanawake mnaoishi kwenye nyumba za kupanga Mungu anawaona

Wanawake mnaoishi kwenye nyumba za kupanga Mungu anawaona

Mazoea tu, siku hizi Kuna msasa wa kichina wa kusugulia magaga, kwa wanaochora kucha wanaujua, wamachinga wanaiuza mingi tu, kwenye vitu vya urembo, labda wanapenda kusugulia nje.
 
Hivi unajua raha ya kusugua mguu kwenye jiwe wewe!! Jaribu nawe uone.
 
Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
Gaga

Tumefikiwa
 
Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
Hilo Gaga linavyosuguliwa huko nyuma sasa kunavyochezeshwa kha!!!
 
Back
Top Bottom