Aisee... Kuna kipindi nilikuwa napitia msoto yani kula kwenyewe shida niko na mwanamke ndani anaona navyohangaika nimeshuka from 100 to 5 hata kula ni kwa shida. kumbe ana ela lak 7 kaficha kabatini.
Sasa kuna siku nataka kutoka nikatafute hela and nilikuwa na hustle coz niko naye vinginevyo ningerudi kwetu, nikachukua begi lake la mgongoni nibebe kitu. alhaula, manoti yakamwagika. alikuwa amelala. nikachukua na kuzirudisha kabatini nikaondoka na bag. sasa aliposhtuka hizo simu alizopiga akihisi labda nimesepa na fedha yake.
Nikapokea na kumwambia najua umepiga unahisi nimesepa na fedha yake, iko kabatini. Akaanza jieleza about fedha ila mimi nikajua hapa...