Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

Dada amejenga nyumba kijijini kwetu, na shemeji hajui wala nn.
Ila naonaga km hajafanya vyema, sijui labda nna akili ndogo ktk uchanganuzi wa mambo.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Hiyo nyumba sio yake😁.
Watoto wake hawana nguvu wala urithi hapo. Sometmz wanakuwa delusional sanaa.
 
Mimi namfahamu mwanamke aliyefanya hivyo baada ya kuchoka visa vya mume kuchepuka na manyanyaso.
Sababu yake ilikua kufanya maandalizi ya kutengana na kuhakikisha watoto wake hawakosi pa kuishi.
Wanaume na sisi wengi wetu tuna mapungufu makubwa sana kwenye ndoa, ukiachilia mbali sisi kuwa wachepukaji na wanyanyasaji, wanaume wengi sahivi wanaowaomba wake zao tendo la kinyume na maumbile, very sad Theresa49 ephen_
 
Mungu aniepushie mwanaume huyo mwenye laana.

Wewe hutomuomba mkeo?
Mke ana heshima yake dada, mimi principle yangu ni kuwa sitoweza muomba mke wangu tendo la kinyume na maumbile maana ntamuharibu, na atapata madhara makubwa kiafya.

Ubaya ni kuwa unaeza usimfanye hivyo mkeo ila akichepuka analiwa tigo huko nje, au unakuta alishawahi liwa tigo kabla sijafahamiana nae.

Yote 9 mke wangu siwezi muomba tigo, mke akitaka kuliwa tigo (maana mawazo ya binadamu huwezi yajua) nataka hiyo dhambi ya kuharibu tigo ya mke wangu isiwe kwenye mikono yangu ephen_
 
Mke ana heshima yake dada, mimi principle yangu ni kuwa sitoweza muomba mke wangu tendo la kinyume na maumbile maana ntamuharibu, na atapata madhara makubwa kiafya.

Ubaya ni kuwa unaeza usimfanye hivyo mkeo ila akichepuka analiwa tigo huko nje, au unakuta alishawahi liwa tigo kabla sijafahamiana nae.

Yote 9 mke wangu siwezi muomba tigo, mke akitaka kuliwa tigo (maana mawazo ya binadamu huwezi yajua) nataka hiyo dhambi ya kuharibu tigo ya mke wangu isiwe kwenye mikono yangu ephen_
Kwahiyo utakua unachepuka huko nje kupata yas?
 
Hongera sana. Huyo Mwwnaume alikuwa Bwege.

Wanaume wa kweli tunalinda Familia zetu at all cost.

Nakupongeza kwa ujasiri wako.

Lakini ingependeza tukajifunza nini tatizo hadi Baba Watoto akafikia hatua hiyo ya kuja na michepuko nyumbani? Je sio yale yale kwamba Mkipata Pesa mnakuwa wajeuri na kasimba za ajabu .
 
Aliniondoa kwenye biashara ya familia. Nikafanikiwa kupata kazi kwenye duka la ujenzi. Ndugu wakamharibia biashara ikabidi awe anasimama mwenyewe. Alikutana nae safarini ndio kuelekezana biashara ya mazao na kuanza kushirikiana. Kwa sababu duka liko nyumbani hivyo muda mwingi walikuwa pamoja.
 
Kwahiyo utakua unachepuka huko nje kupata yas?
Nikioa nitajitahidi nsichepuke kabisa, unatafta yas huko nje, mwishowe unapata ukimwi, mara ulete ukimwi kwa mkeo, tuombe rehema tu

Ila sahivi nipo single, ni mwendo wa kufukua tigo za wadada, makalio makubwa yenye shepu nzuri ya wanawake yanatamanisha jamani ephen_
 
Nikioa nitajitahidi nsichepuke kabisa, unatafta yas huko nje, mwishowe unapata ukimwi, mara ulete ukimwi kwa mkeo, tuombe rehema tu
Mungu atakusaidia.
Ila sahivi nipo single, ni mwendo wa kufukua tigo za wadada, makalio makubwa yenye shepu nzuri ya wanawake yanatamanisha jamani @ephen_
Ujinga tu
 
pole sana mkuu, wanawake nature yao ni ubinafsi, ndio maana hata wao kwa wao hawapendani, kuna Singo maza mmoja alipata mwanaume wa kumuoa kabisa na huyo mwanaume alikuwa serious, kikwazo kikawa kwa mama wa mwanaume, akamwambia mwanangu kama mimi ni mama yako hutamuoa huyo mwanamke ambaye amezaa
Dah kweli inabid tuishi nao kwa akili
 
😳😳😳😳
Uko serious au unatetea tu hoja yako.

Ni kweli hujawahi kuona mama na watoto waliofukuzwa na mwanaume nyumbani?
Hakuna kitu kama hicho, labda kama hao watoto ulimbambikizia na akaja kugundua kuwa sio damu yake ndio takufukuzilia mbali
 
Kwa taarifa yako nimeolewa tangu mwaka 1989 si ajabu ulikuwa hujazaliwa. Ndoa yangu iko imara.
Sasa kama ukiwa umeolewa tokea 1989.........ndio inakuwaje?

Haya sasa mimi nimeoa tokea 1970........then........ ? hii JF,kila mtu tajiri,anamagari,mkubwa nk.
 
Kulipa Alimony au huduma za watoto siyo gender specific, yule mwenye kipato kikubwa au mali zaidi hua anamlipa mwenzake kama sapoti ya kumuwezeha kiuchumi.

Kama kweli unazungumzia uhalisia, hizi ni case tatu kati ya nyingi za marekani ambazo wanawake waliamriwa kuwalipa Alimony wanaume.
  • Britney Spears - Aliamriwa kumlipa $20,000 kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya watoto kwa mume wake wa zamani, Kevin Federline, baada ya talaka yao mnamo 2007.
  • Mary J. Blige - 2018, aliamriwa kumlipa aliyekuwa mume wake, Kendu Isaacs, $30,000 kwa mwezi kama alimony baada ya talaka yao. Huyo mumewe alikua ameomba alipwe $100,000 kwa mwezi mahakama ikakataa.
  • Halle Berry - alilamriwa kumlipa aliyekua mpenzi wake Gabriel Aubry $16,000 kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto wake. Huyu hakuwa mume bali mpenzi waliyezaa pamoja.

    Kwenye swali lako la pili, ni kosa kisheria kwa mwanamke (au mwanaume) kuficha mali na kung'ang'ania kugawana mali za mwenzake tu, ikigundulika unachukuliwa hatua za kisheria. Huko Marekani, divorce lawyers huwa wanatafuta forensic accountants au financial experts kwa ajili ya kuchunguza mali kabla ya mgawanyo.
Divorce alimony ni upuuzi tu haijaliashi hata kama kuna muda inakula kote kote.

Yaani wewe umeshaachana na mimi halafu eti niendelee kufadhili lifestyle yako kisa tu eti nilikuzoesha aina fulani ya maisha hivyo ni jukumu langu kuyamaintain maisha hayo mpaka pale utakapopata bwana mwingine official..? Si upumbavu huo!?

Wanawake hamuwezi kuona kwamba hii sheria ni ya kipuuzi mara nyingi nyie ndio huwa wanufaika wakuu, hiyo mifano michache ya akina Mary J. Blinge ni haiondoi ukweli kwamba nyie ndio wanufaika wakuu, maana mara nyingi huwa mnaolewa na wanaume wenye vipato vikubwa kuliko nyie... kwa hiyo ni obvious mwanaume ndio atatoa hiyo alimony na mnakuwaga mmefanya calculation kabisa mapema kabisa kabla hata ya ndoa kwamba mwanaume huyu nitanufaika naye vipi kwanzia kwenye ndoa hata ikitokea tumeachana... ni wachache wana wasiofanya hizi calculations ambao ndio hao akina Halle Bery, Adele, J.Blinge n.k

Na pia nikujuze tu sio kila sheria iliyowekwa na mzungu ni ya kufuata kuna sheria zingine ni za kishenzi na hata wao wamekuja kugundua hilo hivi miaka ya karibuni ikiwemo hii ya divorce alimony, maana mpaka sasa hivi huko huko marekani wanaume wenye mafanikio wanaziogopa ndoa kama nini, sasa kilichotokea sasa hivi hawana tena family unit, watu wanazalishana tu kwa makubaliano halafu mtoto anakua kwenye mazingira ya ajabu ajabu tu.

Huwa nawaona nyie wanawake wa kiafrika mkitamani sana hizo sheria za Wazungu za ndoa zije na huku kwetu, bila kujua athari zake.. aisee mtajikuta mnaoana nyie kwa nyie maana hakuna mwanaume mwenye akili timamu mwenye mafanikio atakubali kuoa akijua fika sheria sio rafiki kwake.
 
Tafadhali ambatanisha na takwimu za asilimia ngapi ya wanawake waliotalikiana mpaka mwaka 2013 walikua na kipato cha juu kuzidi wanaume. Asante!
Kwa hiyo wewe unabisha kwamba idadi kubwa ya wataraka wanaopokea alimony kutoka kwa wenza wao wa zamani ni wanawake au???

Kwamba unachotaka kuamini wewe wanufaika wengi wa divorce alimony ni wanaume au?????
 
Back
Top Bottom