kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Ujanja kuokoka.Kwa Yesu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujanja kuokoka.Kwa Yesu.
Hiyo nyumba sio yake😁.Dada amejenga nyumba kijijini kwetu, na shemeji hajui wala nn.
Ila naonaga km hajafanya vyema, sijui labda nna akili ndogo ktk uchanganuzi wa mambo.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Wanaume na sisi wengi wetu tuna mapungufu makubwa sana kwenye ndoa, ukiachilia mbali sisi kuwa wachepukaji na wanyanyasaji, wanaume wengi sahivi wanaowaomba wake zao tendo la kinyume na maumbile, very sad Theresa49 ephen_Mimi namfahamu mwanamke aliyefanya hivyo baada ya kuchoka visa vya mume kuchepuka na manyanyaso.
Sababu yake ilikua kufanya maandalizi ya kutengana na kuhakikisha watoto wake hawakosi pa kuishi.
YeahMovement ya kataa ndoa iko supported na rais wa Marekani. Hii movement ina maana kubwa sana. Kila mtu ajitegemee tu basi.
Ilibidi isomeke hivyoWanawake wakipata hela hawataki au hawaoni umuhimu wa mwanaume na ndoa.
Mke ana heshima yake dada, mimi principle yangu ni kuwa sitoweza muomba mke wangu tendo la kinyume na maumbile maana ntamuharibu, na atapata madhara makubwa kiafya.Mungu aniepushie mwanaume huyo mwenye laana.
Wewe hutomuomba mkeo?
Kwahiyo utakua unachepuka huko nje kupata yas?Mke ana heshima yake dada, mimi principle yangu ni kuwa sitoweza muomba mke wangu tendo la kinyume na maumbile maana ntamuharibu, na atapata madhara makubwa kiafya.
Ubaya ni kuwa unaeza usimfanye hivyo mkeo ila akichepuka analiwa tigo huko nje, au unakuta alishawahi liwa tigo kabla sijafahamiana nae.
Yote 9 mke wangu siwezi muomba tigo, mke akitaka kuliwa tigo (maana mawazo ya binadamu huwezi yajua) nataka hiyo dhambi ya kuharibu tigo ya mke wangu isiwe kwenye mikono yangu ephen_
Hongera sana. Huyo Mwwnaume alikuwa Bwege.
Wanaume wa kweli tunalinda Familia zetu at all cost.
Nakupongeza kwa ujasiri wako.
Lakini ingependeza tukajifunza nini tatizo hadi Baba Watoto akafikia hatua hiyo ya kuja na michepuko nyumbani? Je sio yale yale kwamba Mkipata Pesa mnakuwa wajeuri na kasimba za ajabu .
Nikioa nitajitahidi nsichepuke kabisa, unatafta yas huko nje, mwishowe unapata ukimwi, mara ulete ukimwi kwa mkeo, tuombe rehema tuKwahiyo utakua unachepuka huko nje kupata yas?
Mungu atakusaidia.Nikioa nitajitahidi nsichepuke kabisa, unatafta yas huko nje, mwishowe unapata ukimwi, mara ulete ukimwi kwa mkeo, tuombe rehema tu
Ujinga tuIla sahivi nipo single, ni mwendo wa kufukua tigo za wadada, makalio makubwa yenye shepu nzuri ya wanawake yanatamanisha jamani @ephen_
Kwa taarifa yako nimeolewa tangu mwaka 1989 si ajabu ulikuwa hujazaliwa. Ndoa yangu iko imara.Kama ndoa huwezi hujalamizwa,then jaribu upweke, hujashikiwa bunduki ili uingie kwenye ndoa.
Dah kweli inabid tuishi nao kwa akilipole sana mkuu, wanawake nature yao ni ubinafsi, ndio maana hata wao kwa wao hawapendani, kuna Singo maza mmoja alipata mwanaume wa kumuoa kabisa na huyo mwanaume alikuwa serious, kikwazo kikawa kwa mama wa mwanaume, akamwambia mwanangu kama mimi ni mama yako hutamuoa huyo mwanamke ambaye amezaa
Hakuna kitu kama hicho, labda kama hao watoto ulimbambikizia na akaja kugundua kuwa sio damu yake ndio takufukuzilia mbali😳😳😳😳
Uko serious au unatetea tu hoja yako.
Ni kweli hujawahi kuona mama na watoto waliofukuzwa na mwanaume nyumbani?
Sasa kama ukiwa umeolewa tokea 1989.........ndio inakuwaje?Kwa taarifa yako nimeolewa tangu mwaka 1989 si ajabu ulikuwa hujazaliwa. Ndoa yangu iko imara.
Divorce alimony ni upuuzi tu haijaliashi hata kama kuna muda inakula kote kote.Kulipa Alimony au huduma za watoto siyo gender specific, yule mwenye kipato kikubwa au mali zaidi hua anamlipa mwenzake kama sapoti ya kumuwezeha kiuchumi.
Kama kweli unazungumzia uhalisia, hizi ni case tatu kati ya nyingi za marekani ambazo wanawake waliamriwa kuwalipa Alimony wanaume.
- Britney Spears - Aliamriwa kumlipa $20,000 kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya watoto kwa mume wake wa zamani, Kevin Federline, baada ya talaka yao mnamo 2007.
- Mary J. Blige - 2018, aliamriwa kumlipa aliyekuwa mume wake, Kendu Isaacs, $30,000 kwa mwezi kama alimony baada ya talaka yao. Huyo mumewe alikua ameomba alipwe $100,000 kwa mwezi mahakama ikakataa.
- Halle Berry - alilamriwa kumlipa aliyekua mpenzi wake Gabriel Aubry $16,000 kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto wake. Huyu hakuwa mume bali mpenzi waliyezaa pamoja.
Kwenye swali lako la pili, ni kosa kisheria kwa mwanamke (au mwanaume) kuficha mali na kung'ang'ania kugawana mali za mwenzake tu, ikigundulika unachukuliwa hatua za kisheria. Huko Marekani, divorce lawyers huwa wanatafuta forensic accountants au financial experts kwa ajili ya kuchunguza mali kabla ya mgawanyo.
Kwa hiyo wewe unabisha kwamba idadi kubwa ya wataraka wanaopokea alimony kutoka kwa wenza wao wa zamani ni wanawake au???Tafadhali ambatanisha na takwimu za asilimia ngapi ya wanawake waliotalikiana mpaka mwaka 2013 walikua na kipato cha juu kuzidi wanaume. Asante!
Basi aonane nyie kwa nyieNyinyi wanaume ndiyo mnasababisha wanawake wawe hivyo.
Anaibiwa nini tulikubaliana chapa ilale 😂Wee hela ya nini huoni huku kidume mwenzetu anaibiwa inabidi tumpambanie kwanza