Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

Wanawake ni wabinafsi na hawajawahi kuwapenda wanaume.

Unamtolea mahari, unamlisha, unamvisha, maradhi juu yako, unampendezesha, matumizi kila siku, unasaidia ndugu zake, umtie aridhike.

Yeye anachokifanya:- hela ya matumizi anacheza vicoba, michezo ya kuchangiana pesa kila siku, hela ya matumizi ya muhimu nyumbani iminywe apate ganji, akuibie hela kwenye biashara zako (wanaume wenye biashara hili linawatokea kila siku), ananunua kiwanja, anajenga anaweka wapangaji kimya kimya, anakunyima Qumer, anakupimia penzi, anakuuliza ukifa unatuchaje na wanao (wao wanajua sisi wanaume tunakufa kwanza kisha wao watafata).

Kuoa ni kuuuza uhuru wako wa kufarahia maisha, utaishi maisha yako yote ukimtumikia mwanamke. Wewe unasuruali 3 yeye ana magauni 30 tena ya bei mbaya kmmk,🚮 kuoa ni UTAPELI.

Mungu anisamehe nilipokosea, ila suala la kuoa halipo sawa kabisa kwa mwanaume.
 
Kweli wewe Mungu akusamehe naona unataka kuaga group
 
Wanajihami siku mkiachana vitu vyake visiwekwe kwenye mgao.

Jirani yetu anajenga tokea muda ila nyumba bado haijaisha huku mkewe tayari amejenga na nyumba imeisha kaweka wapangaji.
Mume hajui ila majirani tunajua.
Kamanda mambo
 
Misingi ya ndoa iliwekwa kwenda sambamba na mfumo dume, katika nyakati hizi za 50/50 lazima taasisi ya ndoa itaanguka tu.

Takwimu zipo, wanayayafanya wanandoa mtaani tunayaona. Labda kama unataka kubisha tu.
Kampeni ya 50/50 bado haiwezi kuondoa umhimu wa ndoa na watu kuoana
 
Hizo ni sababu tu za kuhalalisha ubinafsi, wanawake wengi ni wabinafsi sana.

Mungu ni mwema sana, ndiyo maana hawakuwapa nafasi mkawa chini ya mwa

Hao watoto aliwazaa peke yake!?mume wake hawamhusu!!?
Ina maana huyo mwanamke alijilala mwenyewe ndio akazaa au watoto sio was huyo mume!!?

Funguka zaid wenye akili timamu tuelewe!!
Mimi binafsi nilijenga kwa hasira, na wala sijui hata hizo pesa nilipatapata vipi. Mwanaume alikuwa analeta mwanamke wake hadi nyumbani na kuwatambulisha watoto huyu ndie mama yenu mdogo. Pesa niliyokuwa natoa ya matumizi, atoe komandi apelekewe chakula na mgeni wake(mchepuko). Kufukuzwa kila siku tokeni kwenye nyumba yangu. Hapo mwanamke wake alikuwa mjamzito. Nilifanya maamuzi magumu kwa kweli, watoto wawili na mimba juu. kila siku kutishiwa kufukuzwa, ningekuwa mgeni wa nani mimi. Najifungua anakataa mtoto sio wake. Mungu fundi sana katoka copy and paste. Mpaka anakuja kujua nimejenga nyumba imeshaisha.
 
Hongera sana. Huyo Mwwnaume alikuwa Bwege.

Wanaume wa kweli tunalinda Familia zetu at all cost.

Nakupongeza kwa ujasiri wako.

Lakini ingependeza tukajifunza nini tatizo hadi Baba Watoto akafikia hatua hiyo ya kuja na michepuko nyumbani? Je sio yale yale kwamba Mkipata Pesa mnakuwa wajeuri na kasimba za ajabu ajabu?
 
Wanajihami siku mkiachana vitu vyake visiwekwe kwenye mgao.

Jirani yetu anajenga tokea muda ila nyumba bado haijaisha huku mkewe tayari amejenga na nyumba imeisha kaweka wapangaji.
Mume hajui ila majirani tunajua.
Hatari sana, kwenye mahusiano mengi watu wako mguu nje, mguu ndani, hapo unakuta maskini mume hana hata wazo la kuachana na mkewe na hatokuja kupata ilo wazo la kuachana na mkewe ephen_
 
Wanajihami siku mkiachana vitu vyake visiwekwe kwenye mgao.

Jirani yetu anajenga tokea muda ila nyumba bado haijaisha huku mkewe tayari amejenga na nyumba imeisha kaweka wapangaji.
Mume hajui ila majirani tunajua.
Movement ya kataa ndoa iko supported na rais wa Marekani. Hii movement ina maana kubwa sana. Kila mtu ajitegemee tu basi.
 
Mimi binafsi nilijenga kwa hasira, na wala sijui hata hizo pesa nilipatapata vipi. Mwanaume alikuwa analeta mwanamke wake hadi nyumbani na kuwatambulisha watoto huyu ndie mama yenu mdogo. Pesa niliyokuwa natoa ya matumizi, atoe komandi apelekewe chakula na mgeni wake(mchepuko). Kufukuzwa kila siku tokeni kwenye nyumba yangu. Hapo mwanamke wake alikuwa mjamzito. Nilifanya maamuzi magumu kwa kweli, watoto wawili na mimba juu. kila siku kutishiwa kufukuzwa, ningekuwa mgeni wa nani mimi. Najifungua anakataa mtoto sio wake. Mungu fundi sana katoka copy and paste. Mpaka anakuja kujua nimejenga nyumba imeshaisha.
Kuona nimemzidi maarifa akachukua hela zangu za akiba akasema anaenda kuanza maisha mbali. Kumbe walishaanza biashara ya mazao na huyo mwanamke, wakadhulumiana huko ndio kuachana. Ndani ya wiki mbili akarudi nyumbani akaforce tuhamie kwenye hiyo nyumba kutokana na aibu aliyoipata. Sasa tuko kwenye nyumba, maisha yanaenda. Yeye bado anapambana kuinua biashara zake baada ya kutapeliana na mchepuko wake. NB: Mchepuko mimba alitoa.
 
Back
Top Bottom