Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

Mkijua mwanamke ana hela spirit ya kutafuta inapungua
 
Wanawake wengi, ila siyo wote, wakipata hela hawataki au hawaoni umuhimu wa mwanaume na ndoa.

Kataa ndoa hapa wanayoyoma kwa kasi ya SGR
Upo sahihi kwa 💯. Wanawake wengi wenye kuajiriwa na mshahahara wa kumuwezesha kuishi halafu ni single mama kuolewa na kumtumikia mwanaume anaona utumwa.

Wengi wao wanapenda kupigwa miti na wanaume tofauti tofauti halafu utawasikia wakisema .... Kuolewa ni utumwa kumbe ni umalaya tu unawasumbua
 
Mkijua mwanamke ana hela spirit ya kutafuta inapungua
Wakati hajakuoa alikua anatafuta kwa kutumia spirit gani hasa!!?Leo ionekane Hana spirit ya kutafuta baada ya wewe kupata hizo hela!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…