Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

kuna mmoja alikuwa kwenye mkutano fulani akaenda mbele ili apate mchumba na mume aliporudi nikaomba namba ya simu ila jibu na jicho alilonipa ilitosha kusema endelea tu kuwekewa mikono na watumishi
Ulikosea kumuomba namba wkt ule alidhan ni kwasabb umemuona katoka kuombewa ili apate mume,, ungempa mda kdg ata kumfuatilia mtaani
 
Wakati wengi wao wanalia na kuombewa kupata Ndoa, huku mtaani na maofisini wanawake wanaovutia kwa Ndoa niwakutafuta kwa Tochi
 
Huwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua na mixture ya wanawake wote mim kitu ambacho huw najiuliza nyinyi wanawake ambao hamna wachumba Wala wanaume kwamba humtongozwi,au Kuna Nini behind

au nyinyi ndio wale ambao mkitongozwa mim na mtu wangu ila mkiwa kanisani mnasimama muombewe mpate wachumba na je kama kweli hamna humo kanisani hamna vijana kweli wakachangamkia hiyo fursa manaa Kuna watoto wengine wakisama unaridhika mwenyewe unasema hapa kweli Mungu kaumba

Haiwezakani Mwanamke wa miaka 24 to 25 ukawa huna mchumba kabisa kwajinsi sisi wanaume tulivyo Kuna wanaume wanaweza kutongoza hadi wanawake wa miaka 50 nyiny mabinti wadogo mnakua mmejifisha wapi

au nyinyi ndio wale wanawake ambao tukiwa kweny daladala tukiwapa salamu tu mnajifanya mpo bize mnachart na simu zenu Yani mwanamke unakosaje mwanaume kabisa yani wew utoke mbezi hadi kariakoo ukose kijana wakukusumbua humo njiani maana kariakoo ndio sehemu yenye vijana wakila aina wenyewe sumu Kali mdomoni,wasumbufu,vinganizi wa kuomba namba,waongaji,waongowaongo wasumbufu,wale wenye kusifia sifia na chap Kwa chap anakuomba namba hapo hapo

Kweli upite mfano ule mtaa wa congo na mchikichi ule mtaa wa vijana wanauza suluali za jeans za kike wanapenda kuweka begani wale vijana wanawasumbua sana na wanatongoza sana wanawake ovyo ule mtaa una vijana machachari kweli.

Mwanamke kukosa mchumba au mwanaume ni ungo tusidanganyane Kwa sababu Kuna vijana wa ovyo anaweza kupanga Ata listi ya wanawake kumi peke Ake

Au nyinyi ndio wale January hadi disemba nyumbani kazin kazini nyumbani nyumbani kazini hutaki Ata kwenda coco beach kutembea,tu au sehemu zenye mikusanyiko hutaki

Au nyinyi ndio wale ambao mnataka tall dark handsome men mkishakosa mtaani mnakimbilia kanisani kuombewa

Mim hii kitu SIAMINI kabisa mnamchosha mzee wa watu tu kanisani na kama kweli hamna kabisa wanaume na wachumba basi kutakua Kuna sababu kubwa nyuma ya panzia iliyopelekea kuwafikisha kuanza kuombewa
Na mimi niulize? Kwa mfano pisi kali inasimama ili iombewe ipate mchumba. Baada ya ibada nikimfuata nikamwambia nimempenda atanikubali au atasema akajifikirie.
 
Na mimi niulize? Kwa mfano pisi kali inasimama ili iombewe ipate mchumba. Baada ya ibada nikimfuata nikamwambia nimempenda atanikubali au atasema akajifikirie.
Si umeona mwezako katoa ushuda kuwa alimuona manzi anaombewa apate mume akamvizia apate namb akaishia kupigwa chini tu
 
Hawa wanawake wa Sasa wataendelea kuachika sana.Unajua wengi wao ukiwa naye kwenye mahusiano anakuwa anaishi kwa historia ya nyuma.Kitu ambacho mwanamme mwenye kuwaelewa hawezi vumilia lazima atamkimbia tu.
Tena unakuta mtu mwenyewe pia mbususu hamna kitu,akili hamna anataka kupewa Hela tu na outings za kila weekend.Nani awe na mwanamke asiyejielewa
✍🏻✍🏻
 
Screenshot_20220731-205423_Photos.jpg

Nimemuona huyu nae anatafuta mchumba analialia tu,mwenye number yake anitumie nimtafutie rafiiiiikiiiiiiiii yanguuuuuuuu.........😎😎😎.
 
Ha ha ha.....
Mwanamke anayeliwa hovyo Kuna picha flan inakuja kichwani jins alivochakazwa huko chini, mood yote inakata

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee. Mood inakata plus kinyaa.
Nafikiri huwa hawajui kuwa wanaume wanaongea, kuna wakati mtu unaonywa wazi wazi na wanaume, like mkuu"stay away" hafai. Enhee unaogopa
 
Mtawaua kwa presha wenye miaka 29 na kuendelea hahahaha...
Wanawake kujitunza ni muhimu sana ujanani,bora uonekane mshamba kuliko kuvua vua chupi
mzabzab Kelsea@to yeye@rikiboy@kunguru wa manzese@princehando
Na asipovua chupi hatuoi haiwezekani tusitesti mitambo je tukiuziwa mbuzi kwenye gunia

Yaani tunawakaba kote kote hawana pa kutokea [emoji16]
 
MALCOM LUMUMBA
A woman will probably have sex with any man she likes, while A man will probably have sex with a woman he can. But in a long run a man will marry a woman he likes, while a woman will get married to any man she can.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom