DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sahii kabisa,Kweli aisee. Mood inakata plus kinyaa.
Nafikiri huwa hawajui kuwa wanaume wanaongea, kuna wakati mtu unaojwa wazi wazi na wanaume, like mkuu"stay away" hafai. Enhee unaogopa
Wanawake wengi mahusiano wanayafanya Siri Sana,
Ila wanaume huwa tunaambizana
"Oya chombo yangu ile napiga"
Jamaa anajibu "fresh"
Sent using Jamii Forums mobile app