azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 863
- 1,293
Yap bora nitafte tu man hakuna ilipoandikwa kwakuwa nmemuacha asiejielewa basi namm ntaenda kuteseka kuna uwezekano mkubwa tu kumuacha ambae hajielew na nkapata ananejielewa tukasongaNenda kaoe unayempenda Baba
Utakuja kusimulia
Maisha ni mzunguko
Aiseeπ wanasema mambo ya ndoa and the like hashauriki mkuuπ€·ββοΈNategemea wadada wote wa JF wangekuwa kitu kimoja.Na wawe wa mfano.
Moderator
@mexence Mello
ContentCreator
Anzisheni Jukwaa maalumu la Wanawake wawe wanajadili mambo ya ndoa na kila kitu.
Washauri wakuu wawe
Sky Eclat financial services
@mamdenyi@kelsea
ππππ Hamna ndio maana Kuna makungwi,na wengine pia wanajifunza humu mambo mengine ujueAiseeπ wanasema mambo ya ndoa and the like hashauriki mkuuπ€·ββοΈ
π π πNijue ilishatoka,
Ila nisijue aliyeitoa Ni mtu tunaejuana[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa huna pesa anakuona kama kichwani signals hazipo na hujui chochote kuhusu futuresTatizo la wanawake wa Sikuhizi,
Ukiwa na Huna Ela, unaonekana Hauko serious na suala Zima la kumuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikosea kumuomba namba wkt ule alidhan ni kwasabb umemuona katoka kuombewa ili apate mume,, ungempa mda kdg ata kumfuatilia mtaanikuna mmoja alikuwa kwenye mkutano fulani akaenda mbele ili apate mchumba na mume aliporudi nikaomba namba ya simu ila jibu na jicho alilonipa ilitosha kusema endelea tu kuwekewa mikono na watumishi
Na mimi niulize? Kwa mfano pisi kali inasimama ili iombewe ipate mchumba. Baada ya ibada nikimfuata nikamwambia nimempenda atanikubali au atasema akajifikirie.Huwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua na mixture ya wanawake wote mim kitu ambacho huw najiuliza nyinyi wanawake ambao hamna wachumba Wala wanaume kwamba humtongozwi,au Kuna Nini behind
au nyinyi ndio wale ambao mkitongozwa mim na mtu wangu ila mkiwa kanisani mnasimama muombewe mpate wachumba na je kama kweli hamna humo kanisani hamna vijana kweli wakachangamkia hiyo fursa manaa Kuna watoto wengine wakisama unaridhika mwenyewe unasema hapa kweli Mungu kaumba
Haiwezakani Mwanamke wa miaka 24 to 25 ukawa huna mchumba kabisa kwajinsi sisi wanaume tulivyo Kuna wanaume wanaweza kutongoza hadi wanawake wa miaka 50 nyiny mabinti wadogo mnakua mmejifisha wapi
au nyinyi ndio wale wanawake ambao tukiwa kweny daladala tukiwapa salamu tu mnajifanya mpo bize mnachart na simu zenu Yani mwanamke unakosaje mwanaume kabisa yani wew utoke mbezi hadi kariakoo ukose kijana wakukusumbua humo njiani maana kariakoo ndio sehemu yenye vijana wakila aina wenyewe sumu Kali mdomoni,wasumbufu,vinganizi wa kuomba namba,waongaji,waongowaongo wasumbufu,wale wenye kusifia sifia na chap Kwa chap anakuomba namba hapo hapo
Kweli upite mfano ule mtaa wa congo na mchikichi ule mtaa wa vijana wanauza suluali za jeans za kike wanapenda kuweka begani wale vijana wanawasumbua sana na wanatongoza sana wanawake ovyo ule mtaa una vijana machachari kweli.
Mwanamke kukosa mchumba au mwanaume ni ungo tusidanganyane Kwa sababu Kuna vijana wa ovyo anaweza kupanga Ata listi ya wanawake kumi peke Ake
Au nyinyi ndio wale January hadi disemba nyumbani kazin kazini nyumbani nyumbani kazini hutaki Ata kwenda coco beach kutembea,tu au sehemu zenye mikusanyiko hutaki
Au nyinyi ndio wale ambao mnataka tall dark handsome men mkishakosa mtaani mnakimbilia kanisani kuombewa
Mim hii kitu SIAMINI kabisa mnamchosha mzee wa watu tu kanisani na kama kweli hamna kabisa wanaume na wachumba basi kutakua Kuna sababu kubwa nyuma ya panzia iliyopelekea kuwafikisha kuanza kuombewa
Si umeona mwezako katoa ushuda kuwa alimuona manzi anaombewa apate mume akamvizia apate namb akaishia kupigwa chini tuNa mimi niulize? Kwa mfano pisi kali inasimama ili iombewe ipate mchumba. Baada ya ibada nikimfuata nikamwambia nimempenda atanikubali au atasema akajifikirie.
βπ»βπ»Hawa wanawake wa Sasa wataendelea kuachika sana.Unajua wengi wao ukiwa naye kwenye mahusiano anakuwa anaishi kwa historia ya nyuma.Kitu ambacho mwanamme mwenye kuwaelewa hawezi vumilia lazima atamkimbia tu.
Tena unakuta mtu mwenyewe pia mbususu hamna kitu,akili hamna anataka kupewa Hela tu na outings za kila weekend.Nani awe na mwanamke asiyejielewa
Kweli aisee. Mood inakata plus kinyaa.Ha ha ha.....
Mwanamke anayeliwa hovyo Kuna picha flan inakuja kichwani jins alivochakazwa huko chini, mood yote inakata
Sent using Jamii Forums mobile app
Na asipovua chupi hatuoi haiwezekani tusitesti mitambo je tukiuziwa mbuzi kwenye gunia
ππππππNa asipovua chupi hatuoi haiwezekani tusitesti mitambo je tukiuziwa mbuzi kwenye gunia
Yaani tunawakaba kote kote hawana pa kutokea [emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]A woman will probably have sex with any man she likes, while A man will probably have sex with a woman he can. But in a long run a man will marry a woman he likes, while a woman will get married to any man she can.
Hawajawahi kueleweka wanataka nini! Kikubwa tuwatoumbe kwa hasira kali hadi vinu viwatoboke, kisha tuachane naokuna mmoja alikuwa kwenye mkutano fulani akaenda mbele ili apate mchumba na mume aliporudi nikaomba namba ya simu ila jibu na jicho alilonipa ilitosha kusema endelea tu kuwekewa mikono na watumishi
Mwanamke mwenyewe mbona Ni maarufu Sana hapa jf, natumai unamjua chief[emoji4]Ukisema mwanamke fulani anakukosha kitandani, embu fafanua Vizuri usikute mdada anakupa hadi buza kwa mpalange DeepPond
KabisaUkiwa huna pesa anakuona kama kichwani signals hazipo na hujui chochote kuhusu futures