Sahii kabisa,Kweli aisee. Mood inakata plus kinyaa.
Nafikiri huwa hawajui kuwa wanaume wanaongea, kuna wakati mtu unaojwa wazi wazi na wanaume, like mkuu"stay away" hafai. Enhee unaogopa
Miaka 32? k ishachakaa! endelea kujipa moyoUtadhani wenye miaka 32 hawaolewi
Umri wowote mtu yoyote anaoa na kuolewa
Na kudumu kwny ndoa haijalishi umeingia na miaka mingapi
Tena zinazodumu ni za waliokomaa kiakili sio watoto wa huo umri
Ile ni changamsha kanisa tuHuwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua na
Ukweli ni kwamba umri wowote wanaingia kwny ndoamiaka 32? k ishachakaa! endelea kujipa moyo
Inachakaa vp?miaka 32? k ishachakaa! endelea kujipa moyo
Sahii kabisa chief[emoji106]
Sio kila mwanamke Ni wakuoa, wengine wanafaa kutumika TU.
Mfano mzuri:
Niko na Mchepuko Wangu mmoja tunaenda mwaka wa 4 huu, ndie mwanamke pekee anaenikosha sana kitandani.
Huwa najisemea
Hata itokee bahat mbaya Mungu amchukue MKE wangu mamaG,
Wallahi huyu mwanamke simuoi.
Ntatafuta mwanamke mwingine nioe au ntabaki singo, na yeye ataendelea TU kua Mchepuko wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
apostle kuna muujiza huku....................
π± π π π πWee jamaa una shida mahalii... au ukioaa ataanza mazoeaSahii kabisa chief[emoji106]
Sio kila mwanamke Ni wakuoa, wengine wanafaa kutumika TU.
Mfano mzuri:
Niko na Mchepuko Wangu mmoja tunaenda mwaka wa 4 huu, ndie mwanamke pekee anaenikosha sana kitandani.
Huwa najisemea
Hata itokee bahat mbaya Mungu amchukue MKE wangu mamaG,
Wallahi huyu mwanamke simuoi.
Ntatafuta mwanamke mwingine nioe au ntabaki singo, na yeye ataendelea TU kua Mchepuko wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elasticity - plasticityInachakaa vp?
Duuuh! basi ingekua hivyo,kua mwanamke anayefanya mapenzi nawewe,anakupenda,basi tafsiri ya mapenzi kwa mwanamke,bado haijaeleweka,niishie tu hapo.Na ndio maana ndoa zina shida sana
Uliacha mwanamke anayekupenda
Unayeoa we unampenda ye hakupendi ana wake huko nje atachepuka tu
Ushauri
Oa mwanamke anayefanya mapenzi na wewe women do it for love
Hio very pickyy muda mwingine haiwasaidii
Kama wewe ni mpenda ngono mwanamke mwenye miaka 35 kwenda mpaka 50 ndio mwenyewe sasa.miaka 32? k ishachakaa! endelea kujipa moyo
Vijana wadogo hawawezi kukuelewa chiefKama wewe ni mpenda ngono mwanamke mwenye miaka 35 kwenda mpaka 50 ndio mwenyewe sasa.
Saa nyingine mnasumbuwana na hao wasichana kumbe hawajika umri wa kukojowa, sasa mwanamke asiyekojowa ujuwe anakufurahisha wewe tu mwanaume, na ndio maana mwanamke anayekojowa ukishindwa kumuandaa mpaka akakojowa hawezi kukuvumilia ni lazima ilo jukumu atakabidhiwq mtu na huu siyo umalaya, ni haki ya msingi ya mwanamke, hata kama ni mke wako atakupa nafasi ya kukuzalia lakini lazima akojozwe na mtu, hii ni kanuni ya asili na haipingi.