Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MYOFB then......!!Wewe kwa kua hujitambui ungekuja kumuuliza, mimi sikutaka kutukanwa asubuhi yote hiyo nani anataka kuianza siku na stress, wewe ukikutana na mtu dizain hiyo wewe muulize yawezekana unajua jinsi ya kuwahoji watu wa type hiyo
utakuwa punga weweFara ni wewe usijua nyuma yako tena yawezekana akili zako ni ziro, kuna binadamu asiyejadiliwa hapa duniani? Ukiwa na mwonekano tofauti lazima watakujadili tu, sasa ww tembea uchi uone kama hurushwa hewani. Yaelekea hujui magazeti ya udaku kazi yake ni nini kilaza mkubwa weeeee