barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vaa na wewe
Washamba nyie!Acha ushamba ww
AhahahhhVaa na wewe
Wardrobe malfunction=fashioooon faux pas!He he kwahiyo unataka kuchungulia nini kikubwa
Kuna nguo huwezi kuvaa bila tight. Tight inachukua nafasi ya underskirt. Kuvaa tight si kujaladiaAisee nikishaona mwanamke kajaladia tu hamu inaisha.
K inakuwa kama imevundikwa
Kwahiyo wale wanaovaa gauni refu halaf ndani anavaa tight si kasheshe tupu...bora mtu avae underskrt sio tight raha ya mpasuo tuone paja bwanaKuna nguo huwezi kuvaa bila tight. Tight inachukua nafasi ya underskirt. Kuvaa tight si kujaladia
Kasheshe iko wapi? Kama utakutana na uvundo basi ni uchafu wake tu. Wanawake wengi tunavaa tight kila siku. Nguo ambayo sivai tight ni suruali peke yake. Skirt au gauni tight ni muhimu. Wenyewe tunajua umuhimu wake. Kama mnataka kuona mapaja waambieni wapenzi wenu watembee uchi.Kwahiyo wale wanaovaa gauni refu halaf ndani anavaa tight si kasheshe tupu...bora mtu avae underskrt sio tight raha ya mpasuo tuone paja bwana
Kasheshe iko wapi? Kama utakutana na uvundo basi ni uchafu wake tu. Wanawake wengi tunavaa tight kila siku. Nguo ambayo sivai tight ni suruali peke yake. Skirt au gauni tight ni muhimu. Wenyewe tunajua umuhimu wake. Kama mnataka kuona mapaja waambieni wapenzi wenu watembee uchi.