Wanawake mnaovaa skirt zenye split (mpasuo) acheni ushamba!!

Wanawake mnaovaa skirt zenye split (mpasuo) acheni ushamba!!

ndugu ulikuwa na hamu ya kugonoka na ndio sababu ya kuja na wazo lako zito zaidi ya uzito wenyewe
 
Kasheshe iko wapi? Kama utakutana na uvundo basi ni uchafu wake tu. Wanawake wengi tunavaa tight kila siku. Nguo ambayo sivai tight ni suruali peke yake. Skirt au gauni tight ni muhimu. Wenyewe tunajua umuhimu wake. Kama mnataka kuona mapaja waambieni wapenzi wenu watembee uchi.
Ushamba tu, tena tight lenyewe linaonekana kwenye mpasuo, vaeni langeries tu inatosha unapoamua kuvaa sketi ya mpasuo.
 
Wengine wanavaa kuepusha kuchubuka mapaja manene. Ila na wewe acha kuwaangalia
 
Back
Top Bottom