Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaume wa dar kazi mnayo aisee
Sawa mkuuSawa tutawaambia
Sawa mkuu
Yeye anaweka mpasuo tuangalie niniHe he kwahiyo unataka kuchungulia nini kikubwa
Ushamba tu, tena tight lenyewe linaonekana kwenye mpasuo, vaeni langeries tu inatosha unapoamua kuvaa sketi ya mpasuo.Kasheshe iko wapi? Kama utakutana na uvundo basi ni uchafu wake tu. Wanawake wengi tunavaa tight kila siku. Nguo ambayo sivai tight ni suruali peke yake. Skirt au gauni tight ni muhimu. Wenyewe tunajua umuhimu wake. Kama mnataka kuona mapaja waambieni wapenzi wenu watembee uchi.