Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga.
Kwasababu wanatoa hela, sasa sijaelewa which is which, Ina maana kwa mfano nikimpa Tshs. elf 50 mdada ninaempenda, na nimekutana naye juzi, naonekana mjinga wakati Najaribu kuonyesha upendo?
Mbona hii reasoning iko backward?