Wanawake mnatufanya tuzime simu zetu kipindi hiki

Magari ya kukodisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
412
Reaction score
695
Jaman yaani meseji za kuombwa hela inbox ni nyingi mno kila nikiwasha data haya wale WENYE ujasiri ndio wanapiga simu kabisa bila woga hali inayopelekea muda mwingi nazima simu na nimebadili laini ili niweze kuwasha data..jitumeni jamani.mnataka haki sawa Kama wazungu halafu mambo madogo yanawashinda eboooh...madem nilionao wananitosha kwa sikukuu hizi.

sasa unakuta mtu hamjazoeana kabisa halafu anakupiga mzinga.wengine mnajidai makauzu kipindi hiki mnajidai kujibebisha
 
Wanapataga wapi hizo namba zako za sim?
 
Back
Top Bottom