Magari ya kukodisha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 412
- 695
Jaman yaani meseji za kuombwa hela inbox ni nyingi mno kila nikiwasha data haya wale WENYE ujasiri ndio wanapiga simu kabisa bila woga hali inayopelekea muda mwingi nazima simu na nimebadili laini ili niweze kuwasha data..jitumeni jamani.mnataka haki sawa Kama wazungu halafu mambo madogo yanawashinda eboooh...madem nilionao wananitosha kwa sikukuu hizi.
sasa unakuta mtu hamjazoeana kabisa halafu anakupiga mzinga.wengine mnajidai makauzu kipindi hiki mnajidai kujibebisha
sasa unakuta mtu hamjazoeana kabisa halafu anakupiga mzinga.wengine mnajidai makauzu kipindi hiki mnajidai kujibebisha