Wanawake mnatuharibia watoto wa kiume

Mwenye jukumu la kuchunga asipate mimba ni nan?
 
Dah umenikumbisha miaka hiyo mimi nilikua jetlee wa mtaa ,kakija kitoto kipya lazima kije kuwasili kwa mkuu mimi yan[emoji4][emoji4]
 
enzizetu kumkuta mtoto wakiume anashida ndani ninadra sana na kamayupo wahivyo tutamsema hadi abadirike😕
Enzi za maisha ya utoto hasa kwa sisi tuliokulia vijiji vya ndani ndani ni tamu sana , unaifurahia dunia kwa aina yake ya kipekee sana.
 
Haya ni matokeo ya sisi wanaume, wengi wetu tumekuwa wanaume wa hovyo sana.
Tunasababisha matatizo wenyewe harafu tunaishia kulalamikia wanawake.
Hao single mother tunaowatukana kila siku walizalishana wenyewe kwa wenyewe?
Usikute hata mleta uzi ni wale wa kataa ndoa, unataka kumzalisha tu binti wa watu usepe umwachie malezi mwenyewe harafu uje kulalamika.
 
Pia kuna single maza wengi hawataki kabisa mtoto akae na baba yake akifika umri fulan
 
Mwanamke hawezi kulea mtoto wa kiume au hata wa kike lazima waharibike.

Maana walio wengi ni wajinga sana Huwa hawataki kupiga Watoto au Watoto wao wapate shida.
 
Chanzo cha uharibifu wa watoto unaanzia kwa sisi wanaume hili suala la kuwapa mimba wanawake na kuzikataa unafikiri kizazi cha hao watoto wanaozaliwa na kuwakimbia kitakuwaje, haya yote yanasabishwa na sisi wanaume wenyewe. 1 Wakorintho 7:1 (SRUV): Basi kuhusu mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
 
Chunguza vijana waokataa mimba unakuta kuna msururu wa vijana wa 5 wote wameambiwa hiyo mimba moja niyao.
 
Nakuelewa! ILA

Wimbi la mzazi upande mmoja linazidi kuongezeka kwa kuwa na wanaume hamtizimi wajibu wenu wa malezi.

Huyu dada maskini wapi anajua Wanaume wanalelewaje, anajikuta tu anapaki lipshine mwanae akiamini ndo mapenzi!
Wewe unayejua Unamume HAUPO!
Hata wanaoshi na watoto wao ni absent fathers, nani atafundisha watoto wenu wa kiume kuwa wanaume?
Watoto hujifunza kwa kuona matendo, wapi nyie mnaojua UANAMUME mnadisplay huo uanamume?
MTOTO ANAJIFUNZA ANACHOKIONA!
inahitaji busara na ufahamu wa tofauti sana wa mama anayeelwa tofauti ya malezi ya mtoto wa kike na wa kiume!
WANAUME MSIPOCHUKUA HATUA ZA DHATI KABISA KUONESHA MWANAUME ANAPASWA KUWAJE!
aiseeeeh msiwalaumu hawa wanawake mnaozaa nao wakiwapakia lipstick watoto wenu!
thats the best way anajiona anapendeza, anaamini na mwanae anatakiwa kupendeza hivyo!
Hebu hata kama umeachana na mamake! BE THERE for your son!
hata mamake ni mwehu, wewe USIACHE KUWA BABA KWA MTOTO WAKO!
hali ni tete!
Rai kwa kina mama
HUMKOMOI MWANAUME ULIYEZAA NAE KWA KULEA MTOTO WAKO WA KIUME KIKE.
malezi ya kiyai yai sio kumpenda mtoto!
Mwanaume ajue tu maisha ni magumu, kutafuta ni kutafuta kwa jasho, chakula hakitupwi wala hakichaguliwi, mwanaume ni kuwajibika, mwanaume ni kulinda, mwanaume ni kuprovide, mwanaume ni kuongoza. Hizi ni vitu unapaswa kumjaza mtoto wako wa kiume mapema kabisa!
Mwanaume kama ni mlinzi atatamani kujifunza ulinzi, kama mwanaume ni kutafuta ili familia ile, atajikuta hana muda wa kujiremba remba afanane na Hanna Montana!
Acha kusihi matamanio yako ya kuwa na mtoto wa kike kwa kumvalisha mtoto wako wa kiume traits za kike!
HATA KAMA UMEACHANA NA BABAKE, aseeee usiache kumkumbusha mwanao wa kiume yeye ni MWANAMUME!
Kuna kaka yako mahali, rafiki yako and stuff! hebu hakikisha huyo mtoto ana Male figure anayoitazama.

idolize hata kuhusu BABU YAKE!
msimulie nyakati baba yako alikuwa brave, msimulie kuhusu mjomba wako alivyokulipia ada!
Hupotezi kitu KUISHI NA MWANAO AKITAMBUA NAFASI YA UBABA hata kama BABA hayupo!

narudia
HUMKOMOI EX WAKO KWA KUMUONDOLEA MWANAO DHANA YA UBABA KICHWANI, tumia hata picha za wanaume mashujaa, tumia masimulizi, tumia hadithi.
Pengine ndo baba hana time, aseee tumia hata mawe, kuwe na jiwe dume na jike.
mradi mwanao ASIJIKUTE MAHALI PA KUONA KUWA WA KIKE NDIO SAHIHI na alikosewa kuwa wa kiume!
 
Mwanaume halalamiki rekebisha kwanza kauli yako ndugu yangu
 
HUMKOMOI MWANAUME ULIYEZAA NAE KWA KULEA MTOTO WAKO WA KIUME KIKE KIKE
 
Hivi kwanini hampendi kujadili mizizi ya matatizo? Kama mwanamke hawezi lea mtoto wa kiume then nini kifanyike.

Mnalaumu victims.

Btw, Tz kwa kiasi kikubwa toka miaka ya late 80 na kuendelea familia nyingi zimelelewa na wanawake, kuhusu wanaume walikuwa wapi, ndio tujadili hapa.
 
Wanawake mmekuwa malaya sana.

Once mwanamke akitombesha kwa mwanamme mwingine, mwanamme wake hawezi mrudia huyo mwanamke katu na huwa tunasusa kila kitu chake hadi watoto.
 
Wanawake mmekuwa malaya sana.

Once mwanamke akitombesha kwa mwanamme mwingine, mwanamme wake hawezi mrudia huyo mwanamke katu na huwa tunasusa kila kitu chake hadi watoto.
Ohh kumbe mmesusa? Basi mtulie watoto wenu walelewe kwa namna waonavyo hao wanawake zenu. Kwani kuna mahali mnaathirika?
 
Wanawake mmekuwa malaya sana.

Once mwanamke akitombesha kwa mwanamme mwingine, mwanamme wake hawezi mrudia huyo mwanamke katu na huwa tunasusa kila kitu chake hadi watoto.
Kama mmesusa kwanini mnalalamika kama hivi? Mpo sawa upstairs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…