Wanawake mnatuharibia watoto wa kiume

Wanawake mnatuharibia watoto wa kiume

Hawa wanawake sijui wana matatizo gani huku duniani, ukiwaza sana unaweza ukasema labda hawa wanawake ndio wapinga kristo wenyewe kabisa (wadada mnisamehe bure ila huu ndiyo ukweli).

Vijana wakiume wamelegea sana, wanarembua rembua macho, wanalamba lamba lipsi, mara wanajichubua chubua na hii nikutokana na malezi mabovu kutoka kwa hawa mama zao tokea wakiwa wadogo

Utakuta mdada ana kakijana kakiume amejaliwa vizuri tuu ila ana kaweka kikike kike, mtoto wa kiume unamvalisha nguo ya mamidoli midoli, mara makopa kopa sasa kama unataka nguo za mapicha picha kwanini usimvalishe nguo mapicha picha magumu magumu ya kiume ili azoee narangi nzito nzito unamvalisha hizi za mvuto wa kike kike.

Mwingine anaenda mbali zaidi ana mpaka mtoto wa kiume lipstick ile isiyo na rangi au mafuta mdomoni ukimuuliza anadai eti ana kuambia mdomo wa kijana wangu unakauka hivi kweli tutafika ndugu zangu

Nyie wanawake mtoto wa kiume ni wakumnunulia midoli kweli alafu ukiulizwa unadai amependa mdoli. Utasikia mimi mwanangu anapenda midoli, eti nyie wa dada kwanini msiige hata wazazi wetu walikua wakitununulia toy za bunduki, vigari , wengine tulichezea mabokoboko, maringi ya baiskeli na gololi

Mbaya zaidi inasikitisha sana , sijui ni uzungu au ni nini. Mtoto kafika darasa la nne bado mnagandana gandana , mara umkumbatie, mara umbusu, mara akulalie kwenye mapaja mkiwa sebuleni mbaya zaidi anaenda kuoga nyie kazi yenu ni kuchungulia chungulia tuu bafuni, ikifika usiku eti unaenda kulala nae room moja unasem mwanangu ni mwoga anaogopa mende na giza.

Na huko kwenye madaladala , bajaji bado tena mnawaganda. Yani unakuta kabisa kachalii kamebalehe kamepakatwa na mama yake au dada yake ni shida tupu kwa kweli.

Mwanamke unajiremba mbele ya mtoto wa kiume bado unalala nae, hapo hapo unampa mafuta ya kike atumie ananukia kikike kike unaona ni sahihi alafu akija kuwa bwabwa mnaanza kusema wanaume wameisha hii ni sawa kweli..

Hebu wanawake acheni huu ujinga wenu. Nyie dilini na hao mabinti zenu hawa watoto wa kiume mtuachie na kama ulitelekezewa hebu anapojitokeza mbaba kukemea tabia za kike kwa mtoto wako wa kiume hebu relax usimwambie azae wa kwake
Hayo ni madhara ya kuwazalisha ovyo na kuwatelekezea watoto.

Mlezi ni baba, mwanamke ni mzazi mzuri ila maswala ya malezi hayawezi.
 
Wanawake mmekuwa malaya sana.

Once mwanamke akitombesha kwa mwanamme mwingine, mwanamme wake hawezi mrudia huyo mwanamke katu na huwa tunasusa kila kitu chake hadi watoto.
Susa usilalamike sasa!
Badala ya kutazama wapi wote mnakosea!we unapambana kutukana wanawake!
There is both team to score aisee!
 
imagine!
Mtu kasusa halafu anaanzisha nyuzi sita sita!
We kama umesusa usiumie.
Kama unaumia DO SOMETHING ABOUT IT!
Watu wa JF utawaweza?

Labda hawasomi vitabu, vitabu vinasema hivi…… ukitaka kitu kifanyike kwa usahihi, fanya mwenyewe.

Kuna watu wana asili ya kutokupenda commitment, kwenye mahusiano wanajaribu jaribu, kwenye kazi wanazuga zuga , kwenye malezi wanajiweka weka mguu ndani mguu nje, inshort wamekuja duniani kuzuga, kila kitu chao ni below average. Ila kwenye kutupa lawama sasa! Mimi huwa naangalia nasema hiiiiiiiii, ona huyu!
 
kabisa!
ONA huyu!
We umetelekeza mtoto, hujui anachokula wala anachovaa!

unatarajia nn?
sisemi ni sahihi, but kwANINI mtu sistimize wajibu wake wa ubaba kabla hajalalamikia asiyetimiza wa umama?
 
Susa usilalamike sasa!
Badala ya kutazama wapi wote mnakosea!we unapambana kutukana wanawake!
There is both team to score aisee!

Tabia zenu mbovu ndo zinawakimbiza akina baba katika malezi ya watoto wenu.
 
Mtoto yupo darasa la sita bado analala na mamake, anapakwa mafuta, anaamshwa kujisaidia haja ndogo, sad sana!.
Hahaha..
Anasahau kuwa mtoto anakaribia kwenda sekondari so anatakiwa kujifunza kujisimamia
 
Nakuelewa! ILA

Wimbi la mzazi upande mmoja linazidi kuongezeka kwa kuwa na wanaume hamtizimi wajibu wenu wa malezi.

Huyu dada maskini wapi anajua Wanaume wanalelewaje, anajikuta tu anapaki lipshine mwanae akiamini ndo mapenzi!
Wewe unayejua Unamume HAUPO!
Hata wanaoshi na watoto wao ni absent fathers, nani atafundisha watoto wenu wa kiume kuwa wanaume?
Watoto hujifunza kwa kuona matendo, wapi nyie mnaojua UANAMUME mnadisplay huo uanamume?
MTOTO ANAJIFUNZA ANACHOKIONA!
inahitaji busara na ufahamu wa tofauti sana wa mama anayeelwa tofauti ya malezi ya mtoto wa kike na wa kiume!
WANAUME MSIPOCHUKUA HATUA ZA DHATI KABISA KUONESHA MWANAUME ANAPASWA KUWAJE!
aiseeeeh msiwalaumu hawa wanawake mnaozaa nao wakiwapakia lipstick watoto wenu!
thats the best way anajiona anapendeza, anaamini na mwanae anatakiwa kupendeza hivyo!
Hebu hata kama umeachana na mamake! BE THERE for your son!
hata mamake ni mwehu, wewe USIACHE KUWA BABA KWA MTOTO WAKO!
hali ni tete!
Rai kwa kina mama
HUMKOMOI MWANAUME ULIYEZAA NAE KWA KULEA MTOTO WAKO WA KIUME KIKE.
malezi ya kiyai yai sio kumpenda mtoto!
Mwanaume ajue tu maisha ni magumu, kutafuta ni kutafuta kwa jasho, chakula hakitupwi wala hakichaguliwi, mwanaume ni kuwajibika, mwanaume ni kulinda, mwanaume ni kuprovide, mwanaume ni kuongoza. Hizi ni vitu unapaswa kumjaza mtoto wako wa kiume mapema kabisa!
Mwanaume kama ni mlinzi atatamani kujifunza ulinzi, kama mwanaume ni kutafuta ili familia ile, atajikuta hana muda wa kujiremba remba afanane na Hanna Montana!
Acha kusihi matamanio yako ya kuwa na mtoto wa kike kwa kumvalisha mtoto wako wa kiume traits za kike!
HATA KAMA UMEACHANA NA BABAKE, aseeee usiache kumkumbusha mwanao wa kiume yeye ni MWANAMUME!
Kuna kaka yako mahali, rafiki yako and stuff! hebu hakikisha huyo mtoto ana Male figure anayoitazama.

idolize hata kuhusu BABU YAKE!
msimulie nyakati baba yako alikuwa brave, msimulie kuhusu mjomba wako alivyokulipia ada!
Hupotezi kitu KUISHI NA MWANAO AKITAMBUA NAFASI YA UBABA hata kama BABA hayupo!

narudia
HUMKOMOI EX WAKO KWA KUMUONDOLEA MWANAO DHANA YA UBABA KICHWANI, tumia hata picha za wanaume mashujaa, tumia masimulizi, tumia hadithi.
Pengine ndo baba hana time, aseee tumia hata mawe, kuwe na jiwe dume na jike.
mradi mwanao ASIJIKUTE MAHALI PA KUONA KUWA WA KIKE NDIO SAHIHI na alikosewa kuwa wa kiume!
Mum, unafaa kujengewa mnara pale uwanja wa taifa! Umajitahidi kuwaeleza wenzio vizuri sana
 
Tabia zenu mbovu ndo zinawakimbiza akina baba katika malezi ya watoto wenu.
Sawa. Sasa nini mnalialia? Watoto wenu watalelewa kimama mama. Kaeni kwa kutulia.
 
Wanawake mmekuwa malaya sana.

Once mwanamke akitombesha kwa mwanamme mwingine, mwanamme wake hawezi mrudia huyo mwanamke katu na huwa tunasusa kila kitu chake hadi watoto.
Na huu ndiyo ukweli.. tena tunamuona ananuka yeye na vitu vyake
 
Hawa wanawake sijui wana matatizo gani huku duniani, ukiwaza sana unaweza ukasema labda hawa wanawake ndio wapinga kristo wenyewe kabisa (wadada mnisamehe bure ila huu ndiyo ukweli).

Vijana wakiume wamelegea sana, wanarembua rembua macho, wanalamba lamba lipsi, mara wanajichubua chubua na hii nikutokana na malezi mabovu kutoka kwa hawa mama zao tokea wakiwa wadogo

Utakuta mdada ana kakijana kakiume amejaliwa vizuri tuu ila ana kaweka kikike kike, mtoto wa kiume unamvalisha nguo ya mamidoli midoli, mara makopa kopa sasa kama unataka nguo za mapicha picha kwanini usimvalishe nguo mapicha picha magumu magumu ya kiume ili azoee narangi nzito nzito unamvalisha hizi za mvuto wa kike kike.

Mwingine anaenda mbali zaidi ana mpaka mtoto wa kiume lipstick ile isiyo na rangi au mafuta mdomoni ukimuuliza anadai eti ana kuambia mdomo wa kijana wangu unakauka hivi kweli tutafika ndugu zangu

Nyie wanawake mtoto wa kiume ni wakumnunulia midoli kweli alafu ukiulizwa unadai amependa mdoli. Utasikia mimi mwanangu anapenda midoli, eti nyie wa dada kwanini msiige hata wazazi wetu walikua wakitununulia toy za bunduki, vigari , wengine tulichezea mabokoboko, maringi ya baiskeli na gololi

Mbaya zaidi inasikitisha sana , sijui ni uzungu au ni nini. Mtoto kafika darasa la nne bado mnagandana gandana , mara umkumbatie, mara umbusu, mara akulalie kwenye mapaja mkiwa sebuleni mbaya zaidi anaenda kuoga nyie kazi yenu ni kuchungulia chungulia tuu bafuni, ikifika usiku eti unaenda kulala nae room moja unasem mwanangu ni mwoga anaogopa mende na giza.

Na huko kwenye madaladala , bajaji bado tena mnawaganda. Yani unakuta kabisa kachalii kamebalehe kamepakatwa na mama yake au dada yake ni shida tupu kwa kweli.

Mwanamke unajiremba mbele ya mtoto wa kiume bado unalala nae, hapo hapo unampa mafuta ya kike atumie ananukia kikike kike unaona ni sahihi alafu akija kuwa bwabwa mnaanza kusema wanaume wameisha hii ni sawa kweli..

Hebu wanawake acheni huu ujinga wenu. Nyie dilini na hao mabinti zenu hawa watoto wa kiume mtuachie na kama ulitelekezewa hebu anapojitokeza mbaba kukemea tabia za kike kwa mtoto wako wa kiume hebu relax usimwambie azae wa kwake
Mkuu umemaliza kila kitu siongezi chochote. Naweza kusema hii ni moja kati ya mada murua kabisa ya kufungulia mwaka. Wanawake wengine wana akili za kiqumerqumer. Utakuta eti wanawapaka watoto wa kiume rangi za kucha. Afu hadi kijana kabalehe lakini limama lake linambusubusu ovyo. Sijui ni uzungu ama ni ulimbukeni tu!
 
Back
Top Bottom