miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
Ila hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..Unaweza kuta ameacha mboga jikoni akaenda
Kuoga,kusalimia majirani,au kuchezea simu na akirudi mboga haijaungua
Au
Muda mwengine unamkuta kajifunga kanga tu Lakini hata afanyaje hauwezi anguka:anaweza akakimbia nayo,akalima nayo.............
Ila haianguki,Naomba tueleweshane hivi vitu.
Inaanguka mkiamua
Madogo niliowaacha preform 1 wako vyuoni
Mtu anadiriki kunatisha ndoo kwa kichwa bila kushikwa na anakata mtaa wa pili na stor za umbea kwa sana, na kupigana vikofi vya kinafiki lkn ndoo haiendi chini.Basi huwa mnaona fahari wenyewe?
Yan mm kama napika mboga za mm mwenyewe nachsnganya kila kitu chini mpaka chumvi, nikifunua ni kula tu.Ila hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..
Mimi nikiweka tu jikoni halafu niende kusuuza sufuria, nikirudi nakuta ishaungua..
Ila hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..
Mimi nikiweka tu jikoni halafu niende kusuuza sufuria, nikirudi nakuta ishaungua..
Yan mm kama napika mboga za mm mwenyewe nachsnganya kila kitu chini mpaka chumvi, nikifunua ni kula tu.
Mambo ya sijui kitangulie hiki au hiki siwez mana chakwanza kitaungulia tu.
Mtu anadiriki kunatisha ndoo kwa kichwa bila kushikwa na anakata mtaa wa pili na stor za umbea kwa sana, na kupigana vikofi vya kinafiki lkn ndoo haiendi chini.
Hahahaaaaaa, uwe unaepua kwanza.Ila hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..
Mimi nikiweka tu jikoni halafu niende kusuuza sufuria, nikirudi nakuta ishaungua..
Hyo nayo ni boraYan mm kama napika mboga za mm mwenyewe nachsnganya kila kitu chini mpaka chumvi, nikifunua ni kula tu.
Mambo ya sijui kitangulie hiki au hiki siwez mana chakwanza kitaungulia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaaaa, uwe unaepua kwanza.
Tutie moyo bana, tusipojua tutakuwa tunawasaidiaje wake zetu..Kuna vitu vingine sio lazima muelewe tuachieni wenyewe na ninyi mnaolalamika mboga kuungua oeni la sivyo mtakula mikaa maisha yenu yote shwain
Mtakuwa wasaidizi tu, na msaidizi si lazima ajue kila kituTutie moyo bana, tusipojua tutakuwa tunawasaidiaje wake zetu..