Wanawake mnawezaje kuacha mboga kwa muda mrefu jikoni na bado ukirudi unakuta haijaungua?

Wanawake mnawezaje kuacha mboga kwa muda mrefu jikoni na bado ukirudi unakuta haijaungua?

miminimkulimaakachekasana

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
3,263
Reaction score
4,730
Unaweza kuta ameacha mboga jikoni akaenda kuoga, kusalimia majirani, au kuchezea simu na akirudi mboga haijaungua.

Au muda mwengine unamkuta kajifunga kanga tu lakini hata afanyaje hauwezi anguka, anaweza akakimbia nayo, akalima nayo ila haianguki, na ikianguka basi kaamua, naomba tueleweshane hivi vitu.
 
Unaweza kuta ameacha mboga jikoni akaenda
Kuoga,kusalimia majirani,au kuchezea simu na akirudi mboga haijaungua
Au
Muda mwengine unamkuta kajifunga kanga tu Lakini hata afanyaje hauwezi anguka:anaweza akakimbia nayo,akalima nayo.............
Ila haianguki,Naomba tueleweshane hivi vitu.

Inaanguka mkiamua

Madogo niliowaacha preform 1 wako vyuoni
Ila hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..

Mimi nikiweka tu jikoni halafu niende kusuuza sufuria, nikirudi nakuta ishaungua..
 
Ila hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..

Mimi nikiweka tu jikoni halafu niende kusuuza sufuria, nikirudi nakuta ishaungua..
Yan mm kama napika mboga za mm mwenyewe nachsnganya kila kitu chini mpaka chumvi, nikifunua ni kula tu.
Mambo ya sijui kitangulie hiki au hiki siwez mana chakwanza kitaungulia tu.
 
Mmhh hamuwezi au mnatafuta tu sababu za kutokufanya hizo kazi? Kwani wanaume wenzenu wanaoweza wanawezaje? Na mbona pia kuna wanawake hawawezi hayo mnayoyasifia ninyi?

Hizi kazi kila mtu anaziweza ila basi tu wanaume wengi wanajiendekeza kujifanya hawaziwezi ili tu ziendelee kuonekana ni kazi za kike haki ya nani mimi ndo maana nasemaga waafrika bado tuna safari ndefu sana.
Ila hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..

Mimi nikiweka tu jikoni halafu niende kusuuza sufuria, nikirudi nakuta ishaungua..
Yan mm kama napika mboga za mm mwenyewe nachsnganya kila kitu chini mpaka chumvi, nikifunua ni kula tu.
Mambo ya sijui kitangulie hiki au hiki siwez mana chakwanza kitaungulia tu.
 
Mbona hata wanaume mnaweza hayo basi tu hamjaamua
Mtu anadiriki kunatisha ndoo kwa kichwa bila kushikwa na anakata mtaa wa pili na stor za umbea kwa sana, na kupigana vikofi vya kinafiki lkn ndoo haiendi chini.
 
Yan mm kama napika mboga za mm mwenyewe nachsnganya kila kitu chini mpaka chumvi, nikifunua ni kula tu.
Mambo ya sijui kitangulie hiki au hiki siwez mana chakwanza kitaungulia tu.
Hyo nayo ni bora
 
Back
Top Bottom