Wanawake mngejua...

Wanawake mngejua...

Wapo watu wanaopenda bila tamaa! Kuna watu wanajua kupenda Kingi usifanye mchezo! Zishinde tamaa zako! Ukiweka tambaa mbele basi ukionja tu utakula kona!

kutamani sio dhambi ndugu. Mkeo/mmeo akiwa uchi humtamani? Au haifiki muda ukamtamani mwenza wako?
 
hivi wewe pape ni mwanaume????
why i dont believe it?
 
Thread starter I got question for u... do u look at women a sex tool? I mean for you a woman is created just to satisfy your sexually need?

Well said. And that is where all the problem begins.....If one wants to conquer, conquer a kingdom! Turidhike na tulichonacho, make what you have special and beautiful.
 
Pape your so great, ubarikiwe sana.unaonekana ni mwenye hekima na busara, laiti ungewagawia wote basi tungefika mbali sana. "Mume wangu ananipenda sana" hao wanaotoka nje na kudai wake zao wabaya basi ni wao ndo wanawafuja.mtengeneze mkeo, hawaogopi ukimwi? hata hao wenye wake wengi bado hawaridhiki nao pia.
Mama B,

Unampa nini mumeo hadi useme hivyo?
 
Mama B,

Unampa nini mumeo hadi useme hivyo?
Hehehe, Mundu...
Unapendaaaaaaaaaaa! I hope wewe sio mwandishi wa shigongo! Kesho tusije tukajisoma kwenye magazeti ya udaku!
 
kutamani sio dhambi ndugu. Mkeo/mmeo akiwa uchi humtamani? Au haifiki muda ukamtamani mwenza wako?
Sasa usipotamani utakuwaje tayari kula? Hujui kutamani ni sehemu ya maandalizi ya kula? Kama hamna tamaa basi hata hamu ya kula hamna.
Kuingiliana ni jumuisho la kuona+kutamani+kuamsha ashiki na kisha maingiliano. Psycho-somatic trend operates in that.
 
Wanaume wengi waliooa wangependa kurudia tena kuoa, ila kifaa kipya chenye mvuto. Ndivyo ilivyo kutokana na mazungumzo mengi ninayokutana nayo. Hili linanifanya nivute subira kwanza kuangaza macho zaidi. Ndipo ninaporudia kauli yangu kuwa uislam uliona mbali kuruhusu mitala.
Ni kwa sababu wanaume wanaroho za ukatili.Kwani wenyewe ndo spcial kama malaika hawabadiliki? Inawezekana wana makero makubwa kwa wanawake kutokana na tabia zao ni vile tu wanawake wengi wameumbiwa roho ya uvumilivu na huruma.Na nijuavyo mimi hata uoe wanawake 100 kama una tamaa basi utaendelea nayo tu.Ndiyo maana Huyo Mtume muhamad alioa wanawake 19 kama sijakosea (hadi mtoto ndani).
Wanaume kiini cha mabadiliko.ukijibadilisha saikolojia yako utamuona mwenzio/mkeo ni binti kila siku na hasa ukizingatia unayemuondolea mvuto ni wewe kwa kumzalisha.
 
Sasa usipotamani utakuwaje tayari kula? Hujui kutamani ni sehemu ya maandalizi ya kula? Kama hamna tamaa basi hata hamu ya kula hamna.
Kuingiliana ni jumuisho la kuona+kutamani+kuamsha ashiki na kisha maingiliano. Psycho-somatic trend operates in that.

yaani kama vile sijakupata

Ni kwa sababu wanaume wanaroho za ukatili.Kwani wenyewe ndo spcial kama malaika hawabadiliki? Inawezekana wana makero makubwa kwa wanawake kutokana na tabia zao ni vile tu wanawake wengi wameumbiwa roho ya uvumilivu na huruma.Na nijuavyo mimi hata uoe wanawake 100 kama una tamaa basi utaendelea nayo tu.Ndiyo maana Huyo Mtume muhamad alioa wanawake 19 kama sijakosea (hadi mtoto ndani).
Wanaume kiini cha mabadiliko.ukijibadilisha saikolojia yako utamuona mwenzio/mkeo ni binti kila siku na hasa ukizingatia unayemuondolea mvuto ni wewe kwa kumzalisha.

ukatili anao kila mtu sema tu watu wanauficha. hata wanawake wangetamani sana kuwa na wanaume kibao! uende chuo kikuu, binti ana bwana wa kumpa hela, kumfundisha, kutoka nae, mhadhiri, n.k. usinibishie, wapo
 
Sio kweli.wanawake wengi wana upendo wa dhati kwa waume zao na wala hawatamani kabisa kutafuta wa nje na ndio maana ushahidi upo kwenye wanawake wenye nyumba ndogo ni wachache kuliko wanaume.Yani wanawake wanavumilia waume zao hata kama wana madhaifu makubwa na ndio huruma tunayosema hapa.
hao unaosema mabinti wana wanaume wengi ni asilimia ndogo ya wanawake wengi wanaojiheshimu.na isitoshe hapa tunaongelea ndoa kama nimekuelewa vema vema sio huo upuuzi wa kudanganyana chuo
Na ukweli ni kwamba ukikuta mwanamke katoka nje ya ndoa ujue kuwa kafikia maximum limit ya uvumilivu,huyo mme ameshindikana.Na wengi wanatoka kama revenge kwa waume zao au waume zao wapo bize sana hawawatimizii mahitaji yao.
 
we men wish that women keep on keep on loving their men with their heart together with changing the attitudes of their men
 
leo naangalia tu! kingi umetawala jukwaa!
 
pape, iwapo iwapo mwanandoa akiwa msiri sana na mwangalifu halafu mwenzie nae akawa hivyo hivyo,
matokeo yake kila mtu atamuona mwenzie malaika na maisha yatakuwa saaaaaafi sana lakini siku ya mwisho,Mungu atawaambia ondokeni kwangu siwajui.........
 
Back
Top Bottom