HadithiZaRuvulyDeFinisher
Member
- Jul 14, 2022
- 7
- 12
MmmmmmhMbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika
Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi
Ndio ni marehem sasa aliitwa Laibon..alijenga mpaka shule yake pale.Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika
Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi
Kibongobongo hawawezi
Wake 3,watoto 19 lazima uwe vizuri kiafya na kiuchumi....
Anhaa kumbeUmeona familia ya bilionea laizer.
Wazungu wametuharibu sana
Familia yote kuanzia baba, wake zake na watoto wote nyuso zao hazina nuru kabisa. Haya maisha wala siwezi kuya intertain hata siku mojaUsijifanye huoni soma maelekezo hapo alafu tuambie maoni yenu [emoji38][emoji38]View attachment 2290610
Hapo labda angehakikisha kila mmoja anazaa watoto wawili tu ili iwe rahisi kuwalea.Familia yote kuanzia baba, wake zake na watoto wote nyuso zao hazina nuru kabisa. Haya maisha wala siwezi kuya intertain hata siku moja
Depal acha ukorofiUke wenza wabaki nao wanauweza [emoji28]ref. To Mpali TV program…
Afu kuna ww sasaMbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika
Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi