Wanawake mpo! Endeleeni kukataa uke wenza

Wanawake mpo! Endeleeni kukataa uke wenza

Joined
Jul 14, 2022
Posts
7
Reaction score
12
Usijifanye huoni soma maelekezo hapo alafu tuambie maoni yenu [emoji38][emoji38]
255676191919_status_6bdb0955159948bb8317694040b634f5.jpg
 
Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika

Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi
Ndio ni marehem sasa aliitwa Laibon..alijenga mpaka shule yake pale.
 
Familia yote kuanzia baba, wake zake na watoto wote nyuso zao hazina nuru kabisa. Haya maisha wala siwezi kuya intertain hata siku moja
Hapo labda angehakikisha kila mmoja anazaa watoto wawili tu ili iwe rahisi kuwalea.
 
Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika

Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi
Afu kuna ww sasa
 
Back
Top Bottom