Wanawake msijisafishe Sehemu za siri mara kwa mara

Usafi ni muhumu msidanfanyike. Kama unakunywa maji mengi UTI unaitoa wapi?
Wanawake sisi usafi li lazima hii haina option.
 
Huyo mwanamke mchafu na anatetea uchafu wake. Hana lolote analojuwa
 
Wacha waoshe mi nitakuwa natupiamo maji kwa juu juu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Natamani kujua kama kuna perfume yenye hako ka harufuzπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‡πŸ˜…

Jina lake please.... πŸ˜…πŸ˜‡πŸ˜…πŸ˜‡πŸ˜…
 
Siyo kweli. Waacheni wanawake wasafishe uchi zao. Wakiacha watanuka. Kwenye uke huwa ni kubichi muda wote. Kuacha bila usafi kunasababisha kuzalisha bacteria, fungus nk. Matokeo yake ataishia kuwa na shombo. So tu nashauri kila anapooga asafishe vizuri kwa sabuni ile anayoogea. **** ni kama mdomo. Usipo sugua mdomo na miswaki na dawa ya meno mdomo utanuka. Hata uke uko hivyo usipo safisha kutanuka na mwisho utakimbiwa na wanaume. Lakini wakatili wa kitiana utakuwa unatoka uchafu mwingi ambao unanuka na mwisho mwishoni steam ya sex inapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…