Wanawake msilazimishe wanaume tuwaonee huruma sisi hatujaumbwa hivyo

Wanawake msilazimishe wanaume tuwaonee huruma sisi hatujaumbwa hivyo

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
3,003
Reaction score
8,385
Ndugu zangu salaam.

Wanawake wamekua wakiforce wanaume tuwaonee huruma ili hali hawajui sisi wanaume hatukuumbwa hivyo. Wanaume tuliumbwa kua wagumu, wenye nguvu, mamlaka , viongozi na watawala.

Wanaume hatukuumbwa kua mayai mayai na laini kama mademu. Ndiyo maana mwanaume ukiwa laini unakua papai ( shouger).

Wanawake tambueni sisi wanaume hatujaumbwa kuwaonea huruma na ndiyo maana hata matumbo ya uzazi hatukupewa sisi wanaume bali nyie maana sisi ni watu wa purukushani.
Kwanini na yasema haya.

1: Kwenye mitandao kuna picha na video clip za wanawake wanazipost wakiwa leba au wakiwa na uchungu wa kuzaa ili wanaume tuguswe na kuwaonea huruma kitu ambacho sisi hatujaumbwa nacho. Tutaendelea kuwapa mimba mkapambane na utungu mtuletee watoto

2: Wapo wanawake ambao hawataki kufanya kazi , wameibuka na kuwa omba omba nyakati za jioni. Hawa wanawake wanatembea na rundo la watoto huku wakiwalenga wanaume wenye ahueni wawape misaada kitu ambacho wanaume hatukuumbwa hivyo.

3: Wanawake wanao lialia na kutoa machozi kwenye kila jambo
Hawa wanajikuta ni walaini sana, wanajifanya kutoa machozi pindi wanapokosea au kunyimwa hela pasi na kujua sisi wanaume hatuwezi kamwe kuthamini kilio cha wanawake na hatuamini machozi yenu

4: Kujionyesha kuteswa kwenye ndoa na mahusiano
Wanawake wanajificha kwenye kutuonyesha na kuionyesha jamii kua wanaume ni watesaji ili waonewe huruma, utakuta kanalia anadai haudumiwi, ananyanyaswa na mume ili jamii imuonee huruma pasi na kujua sisi wanaume hizo siyo shida zetu.

5: Wanawake wengine wamekua wakijikuta hao ni wagonjwa zaidi ili kututishia , hata wengine wanadhani mimba ni ugonjwa ili tuwahurumie kumbe siyo kweli, wako wengine wanaojifanya wakiingia kwenye siku zao ni wagonjwa kitu ambacho nacho siyo kweli

Wanaume kwanza ukiwa na mimba ndo tunafurahi unatuletea zawadi ya mtoto, na ukiwa kwenye siku zako tunafurahia kuona uanamke wako ukithibitika hatuna huruma yeyote msijiangaishe kutafuta huruma kwa wanaume.

Wanawake tambueni wanaume sisi tuliumbwa wagumu wagumu kutafuta huruma kwa wanaume ni kujidhalilisja na kupoteza muda maana sisi wanaume hilo hatulijui sisi wanaume tunaheshimu yule mwanamke anaejitambua ambaye hatafutitafuti kumuhurumia
 
Back
Top Bottom