CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
akhaa nimpigie nini?we acha tu,we ushawahi kumpiga bf/bwanako/mmeo? Just out of curiousity?
Kuna mmoja nataka kumbonda ila namuogopa
Ananitia hasira za makusudi sana, I can't take it anymore!
Aisee wanawake Wakenya ni Watemi mbaya, mimi nafanya nao kazi hapa Dar, halafu hawatongozeki, unaweza kujikuta unamwaga sera mzee, lakini mrembo kakukazia macho wala harembui matokeo yake unaona aibu wewe.............. kaazi kweli kweli................
Mzee mwenzangu Bishanga ukisoma hii maneno delete haraka kabla wale wanangu wakuda Cantalisa na mwenzie hawajaona......LOL
Nani tena au kibabu chako maana vibabu ndio vinaongozwa kupigwa na wake zao
Khaaaaaaaaaaa!Aisee wanawake Wakenya ni Watemi mbaya, mimi nafanya nao kazi hapa Dar, halafu hawatongozeki, unaweza kujikuta unamwaga sera mzee, lakini mrembo kakukazia macho wala harembui matokeo yake unaona aibu wewe.............. kaazi kweli kweli................
Mzee mwenzangu Bishanga ukisoma hii maneno delete haraka kabla wale wanangu wakuda Cantalisa na mwenzie hawajaona......LOL
Bishanga hata ww huwa unapigwa ?!!AF hivi unadhani masikhara? Wanawake wanatutandika kweli kweli,halafu usiombe kupigwa na mwanamke,hawana hata chembe ya huruma,ni boom boom kwa kwenda mbele utadhani anachanja kuni.
AF hivi unadhani masikhara? Wanawake wanatutandika kweli kweli,halafu usiombe kupigwa na mwanamke,hawana hata chembe ya huruma,ni boom boom kwa kwenda mbele utadhani anachanja kuni.