Wanawake muache hii tabia, mnatuboa!

Acha ubahiri.
 
Kumpa mtaji demu ni sawa kumsomesha demu tu.....mie hapana kwa kweli hata kama akija na swaga gani kwangu hafui dafu.......
 
kwahyo unavyomgeuza geuza unajiskia raha tu kuombwa pesa au mitaji mnanuna mtoe hela tu kama unavyombadilishia mastyle
Kwani si mnaenjoy wote tena nyie ndo zaid ndo mana asipokurizisha unatafuta wengine.
Madem mnatakiwa muwe classy...ukiwa njaa njaa unatumiwa unaachwa anatafutwa mwingine
 
Dah! Mkuu vipi, wazazi wake ndo wana mkula au wewe?

Sa apo wazazi wanahusikaje?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapana hawamli.
Ila ni jukumu la wazazi kugharamia malezi ya watoto wao.
Sasa we ukianza kumlea na wazazi wao wafanye kazi gani?
Na kama ukimla raha mnapata wote ndo mana usipowala vizuri wanasema wanachepuka. Ingekua raha unapata mwanaume pekee hapo sawa.
Kama wote mnaenjoy bac kila mtu agharamie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…