WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,017
Usipate shida sana, naiuza line za mpesa laki 2.5
Nakuja nimchukulie shemela wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipate shida sana, naiuza line za mpesa laki 2.5
ukweli ni upiCkweli[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Poor argumentkwahyo unavyomgeuza geuza unajiskia raha tu kuombwa pesa au mitaji mnanuna mtoe hela tu kama unavyombadilishia mastyle
Acha ubahiri.Mtu mna wiki tu anakwambia, ''Baby naomba basi japo unipe mtaji nifungue kibanda cha MPESA. Love yuuuuu xoxoxoxo''..
Line tu ya M Pesa si chini ya 2milion, bado hujaiwekea float, hujalipia kodi ya
hiyo fremu. Alivyoiomba utadhani ni kakitu ka Elfu thelathini.
huo ndio uhalisia wa mambo 50/50 kwann utam mnautaka kuugaramia hamtakiPoor argument
Usawa wa kulenga kwa manati - ngwea, sasa shemeji yetu jje's unampa hela?[emoji1]Usawa wenyewe huu?
Kwani si mnaenjoy wote tena nyie ndo zaid ndo mana asipokurizisha unatafuta wengine.kwahyo unavyomgeuza geuza unajiskia raha tu kuombwa pesa au mitaji mnanuna mtoe hela tu kama unavyombadilishia mastyle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakusubirinakuja pm [emoji28]
Na wajibu wa wazazi wake ni upi?hahahh no sio kutoa lkn ni wajibu wako kumpa
Dah! Mkuu vipi, wazazi wake ndo wana mkula au wewe?Na wajibu wa wazazi wake ni upi?
Hapana hawamli.Dah! Mkuu vipi, wazazi wake ndo wana mkula au wewe?
Sa apo wazazi wanahusikaje?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
naona umeniamulia aiseeNa wajibu wa wazazi wake ni upi?
Kwani si mnaenjoy wote tena nyie ndo zaid ndo mana asipokurizisha unatafuta wengine.
Madem mnatakiwa muwe classy...ukiwa njaa njaa unatumiwa unaachwa anatafutwa mwingine
Nisubiri tu fasta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakusubiri
Kumzaa.Na wajibu wa wazazi wake ni upi?
Pole sana. Utaishia kuomba ela ya pedi kila mwezi.Kumzaa.
Mbavu zangu mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nisubiri tu fasta