Asante.Pole sana. Utaishia kuomba ela ya pedi kila mwezi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mbavu zangu mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Medem wa ck hz wanatak kuponea kwtu ndo maan mtu akipata pesa anawatumia mpk kuwazalilisha maana weng njaa na hawajielewiMtu mna wiki tu anakwambia, ''Baby naomba basi japo unipe mtaji nifungue kibanda cha MPESA. Love yuuuuu xoxoxoxo''..
Line tu ya M Pesa si chini ya 2milion, bado hujaiwekea float, hujalipia kodi ya
hiyo fremu. Alivyoiomba utadhani ni kakitu ka Elfu thelathini.
Kama mnauza! Sie tusio na pesa tsingalipata warembo.kwahyo unavyomgeuza geuza unajiskia raha tu kuombwa pesa au mitaji mnanuna mtoe hela tu kama unavyombadilishia mastyle
Sasa kama anauza si angesema tu nijue namegaje? Za kununua zimejaa kitaa kibao. Nataka maziwa nanunua jing'ombe zima la nini!kwahyo unavyomgeuza geuza unajiskia raha tu kuombwa pesa au mitaji mnanuna mtoe hela tu kama unavyombadilishia mastyle