Wanawake muache hii tabia, mnatuboa!

Wanawake muache hii tabia, mnatuboa!

Tena ushukuru huyo kakuomba tuu mpesa ana huruma
 
Tehe tehe tehe Kweli anajua kusisitiza.....luv u xoxo
 
Mtu mna wiki tu anakwambia, ''Baby naomba basi japo unipe mtaji nifungue kibanda cha MPESA. Love yuuuuu xoxoxoxo''..

Line tu ya M Pesa si chini ya 2milion, bado hujaiwekea float, hujalipia kodi ya
hiyo fremu. Alivyoiomba utadhani ni kakitu ka Elfu thelathini.
Medem wa ck hz wanatak kuponea kwtu ndo maan mtu akipata pesa anawatumia mpk kuwazalilisha maana weng njaa na hawajielewi
.
SAMAHANI WADADA
 
kwahyo unavyomgeuza geuza unajiskia raha tu kuombwa pesa au mitaji mnanuna mtoe hela tu kama unavyombadilishia mastyle
Sasa kama anauza si angesema tu nijue namegaje? Za kununua zimejaa kitaa kibao. Nataka maziwa nanunua jing'ombe zima la nini!
 
Medem wa ck hz wanatak kuponea kwtu ndo maan mtu akipata pesa anawatumia mpk kuwazalilisha maana weng njaa na hawajielewi
.
SAMAHANI WADADA
hii wanaiitaga Ashakum si matusi
 
Medem wa ck hz wanatak kuponea kwtu ndo maan mtu akipata pesa anawatumia mpk kuwazalilisha maana weng njaa na hawajielewi
.
SAMAHANI WADADA
hii wanaiitaga Ashakum si matusi
 
Kumpa mtaji demu ni sawa kumsomesha demu tu.....mie hapana kwa kweli hata kama akija na swaga gani kwangu hafui dafu.......
Haha, sasa akikupiga vizinga vya hapa na pale si pia anaweza kufungua mtaji
 
Back
Top Bottom