Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Yaaani... Washaota sugu.nje ya izo sababu za kitaalamu unaweza jifunza kitu cha ziada, africa wanawake wetu ni wanapitiwa na wanaume wengi katika maisha yao, kitu kinachoathiri chemistry yao!
Tangu lini malaya akafika kileleni..., tuna safari ndefu bado, na ndo mana tatizo la nguvu za kiume linaonekana kubwa sana huku kwetu.
vitabu vitakatifu vilikuwa na maana sana kusisitiza mwanamke kufahamiana na mwanaume mmoja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app