Wanawake, muda gani huwa unachukua kufika kileleni?

nje ya izo sababu za kitaalamu unaweza jifunza kitu cha ziada, africa wanawake wetu ni wanapitiwa na wanaume wengi katika maisha yao, kitu kinachoathiri chemistry yao!
Tangu lini malaya akafika kileleni..., tuna safari ndefu bado, na ndo mana tatizo la nguvu za kiume linaonekana kubwa sana huku kwetu.
vitabu vitakatifu vilikuwa na maana sana kusisitiza mwanamke kufahamiana na mwanaume mmoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza Kukupenda sasa
Afrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapanda bila matayarisho.

Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.

Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.

Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.

Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.

Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.

Jamii nyingi (majority) za Kafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.

Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mchanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.

Nyege ni kunyegezana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naweza kupata ushauri hapa mm kuna mdada nadate nae takriban miezi 2 tunaweza kufanya mambo yetu dakika 10 mpaka 15 licha hapo nishamuandaa vzuri baada ya hapo atakwambia nasikia michubuko na akaacha kuendelea show alafu tangu aanze kufanya mapenz anasema ajawai kufika keleleni so ajuagi kama anafika kilelen so napata wakati mgumu kuendela wakati yeye anaumia anavyochibuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu miezi miwili tu na ushapiga vitu mara kibao...huyo dem sio kahaba mkuu? Kua makini CONDOM MUHIMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nje ya izo sababu za kitaalamu unaweza jifunza kitu cha ziada, africa wanawake wetu ni wanapitiwa na wanaume wengi katika maisha yao, kitu kinachoathiri chemistry yao!
Tangu lini malaya akafika kileleni..., tuna safari ndefu bado, na ndo mana tatizo la nguvu za kiume linaonekana kubwa sana huku kwetu.
vitabu vitakatifu vilikuwa na maana sana kusisitiza mwanamke kufahamiana na mwanaume mmoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah unaoweje na mtu wa namna hiyo si ulikuwa unamjua Kabla?
Afrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapanda bila matayarisho.

Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.

Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.

Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.

Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.

Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.

Jamii nyingi (majority) za Kafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.

Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mchanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.

Nyege ni kunyegezana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwa waafrika zidisha hizo dakika mara tatu mpaka nne siku nyingine lakini zisipungue dk 30 kwa round moja

Fanyeni mazoezi kuleni vizuri zama hizi nguvu za kiume ni dhoruba barani Africa msitake kujilinganisha na wazungu mbona babu zenu walikuwa wanakimbiwa na wake zao

Siku hizi imekuwa kinyume wanaume ndo mnakimbia wanawake loh aibuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wamekuwa marijali
 
Kama Muumbaji hakuona umuhimu wa mwanamke kufika kilelen mapema na kwa urahisi kama mwanaume kwanini uhangaike kujichosha....hawaridhiki hawa viumbe umpe hela na umkojoze kikikosekana kimoja anakusaliti..!...we hitahid siku moja moja siku zingine we piga push zako kojoa lala hamna mashindano.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapanda bila matayarisho.

Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.

Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.

Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.

Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.

Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.

Jamii nyingi (majority) za Kafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.

Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mchanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.

Nyege ni kunyegezana.
Darsa.....
 
Back
Top Bottom