Afrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapanda bila matayarisho.
Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.
Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.
Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.
Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.
Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.
Jamii nyingi (majority) za Kafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.
Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mchanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.
Nyege ni kunyegezana.