Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

I got boner baada ya kusoma haya maandishi huku nikikutengenezea imagination haya maneno ukiyasema

Anyway umeongea point na wala usichoke kutuelimisha bibie smaki
Ni kweli ni wajibu wetu
 
Mkuu unaonekana una stress sana Juu ya wanaume kuchepuka hehehee,,,, Comment zako ziko opposite sana na maada husika...

Vipi nini kimekupata Bidada..??? Kijana mwenzetu amekuacha kwenye mataaa au.....

Nimeuliza tu.

Your perception may not be my reality!
 
Mkuu unaonekana una stress sana Juu ya wanaume kuchepuka hehehee,,,, Comment zako ziko opposite sana na maada husika...

Vipi nini kimekupata Bidada..??? Kijana mwenzetu amekuacha kwenye mataaa au.....

Nimeuliza tu.

Aise
 
Kwa mfano leo na kila wakati nikikumbuka nilipojulishwa na mwanamke niliyelea nae mimba had mtoto kwa miaka kadhaa kabla sijaoa ...huwa nalia sana lakin sijawah kumwambia wife na hajui kabsa kama huwa nina maumiv makali sana moyon....
 
Alikujulisha nini hadi uumie na kulia mkuu?
 
Be that as it may.

You are stressed.

Panua wigo wako wa kujifunza na kuelewa mambo,

Sasa nikuulize Kwani mtu kuwa stressed ni ajabu kutokea ?

Kwamba wewe kwenye maisha yako hujawahi kuwa stressed na wala hutarajii kuwa stressed?

Ni mtu mwenye wazimu tu ndio anaweza kutopata stress kwenye maisha yake yote sababu yeye anaishi ilimradi tu kuche kuchwe.

Mtu yeyote mwenye akili timamu mwenye malengo ni kawaida kupata stresses pale ambapo malengo alotarajia hayajafikiwa kwa wakati.

Wanapata stresses wafalme , maraisi, matajiri wa Dunia kina Bill Gates , wafanyabiashara , n.k.

Mpaka hapo unasemaje labda ?

Kwani nimekufanyia personal attacks labda? Ili nikuombe radhi iwapo nimekutusi labda au ?

Ijapokuwa najua sijuagi kutukana wala japo kusonya sijuagi ktk maisha yangu yote.

Atukuzwe Mungu Kwa Neema hiyo Kwa kweli!

Mimi nimechangia mada in a general context and overview,

Sijamu - attack personally mtu yeyote, wewe pilipili zikiwa shamba zinakuwashaje uliepo mjini Kwa mfano?

Badala ya kuchangia hoja kwenye mada wewe upo kuhusudu wanaochangia mada?!

Chunga chungio bibi mimi si mke mwenzio [emoji108]

Yatakushinda!

Nakustahi sana.
 
Panua wigo wako wa kujifunza na kuelewa mambo,

Sasa nikuulize Kwani mtu kuwa stressed ni ajabu kutokea ?

Kwamba wewe kwenye maisha yako hujawahi kuwa stressed na wala hutarajii kuwa stressed?

Mpaka hapo unasemaje labda ?

S I S E M I
 
Upo sahihi mkuu pia Mama zetu wanatukuza katika misingi ya kuvumilia tangu tukiwa wadogo..mfano unaweza ukadondoka na ikauma kweli ukianza kulia utasikia jamaza wanaume hawalii au utaambiwa jikaze we si mwanaume hata aiumi, au usilie kama wanawake..hivyo basi hii misingi tunakuwa nayo pia kujikaza kwetu ni asili yetu kwani tumeumbwa kuvumilia..mwanaume alii ila anagugumia.
 
Kwa mfano leo na kila wakati nikikumbuka nilipojulishwa na mwanamke niliyelea nae mimba had mtoto kwa miaka kadhaa kabla sijaoa ...huwa nalia sana lakin sijawah kumwambia wife na hajui kabsa kama huwa nina maumiv makali sana moyon....
Mkuu hapo hujaeleweka au ni.mimi ndio sijaelewa?

Fafanua mkuu.. ...

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo!! wamezidi kulegea watoto wa Mama hao!!! na hao!! hao!! ukichunguza saaana Baba zao au babu zao ndo waleee walioIkimbia vita ya kagera!!...Wakawasusia wakurya na wahehe!.....sasa wanakuja kivingine! hawajui kukomaa na kazi!! kwa nini wasiuze mayai tu! km wakurya??
 
Alikujulisha nini hadi uumie na kulia mkuu?
Ni kwamba aliniambia kuwa mtoto c wng....na hapo ni baada ya kulea mimba na mtoto kwa kipnd cha miaka 3......na hapo bado nilikuwa cjaoa.....lakin imepta miaka mi 4....kila nikikumbuka niyoptia nae pa1 na mtoto....naumia xana mana hata hajawah niomba msamaha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…