Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Unadhani anaweza kua na jeuri hiyo mwezi mzima? Hakuna mwanaume wa kuhonga mke wa mtu kila siku bro. Mambo mengine tumuachie Ali Choki na kisa cha MpembaHuyo mke mwema sana, Wanawake wengine ukileta viazi unakuta kumepikwa kuku utachagua mwenyewe kuuliza alitoka wapi au ule ukalale. Ukiuliza alitoka wapi unapata na jibu kati ya yai na kuku nini kilianza.