Wanawake muwe mnathamini jasho la waume zenu

Wanawake muwe mnathamini jasho la waume zenu

Akiniambia mdogo wangu siku hizi wanawake wamekuwa wakiwatumia watoto kama kinga ya kufanya mambo ya kijinga ,na wanaume wengi kwa sasa wanaishi kwa mateso ndani ya ndoa kwa sababu falisafa hiyo ya nikifanya hivi watoto watateseka.
Hakukosea, mtoto hateseki ikiwa anaona anachokula na mama yake anakula....watoto sikuzote humwamini mama.
 
Ni mtihani tuliopewa na wachache sana watafuzu hili.
Mali kwa ujumla ni mtihani na inaleta fitna na uchonganishi kwa wengi wetu.
Watu wanauwana kwa ajili ya mali
Kuhusu watoto nao ni mtihani wa pili, kwenye familia nyingi unakuta watoto wakiwa upande mmoja labda kwa mama au baba na badala ya kufanya mambo mema zaidi
Mjitahadhari sana na Mali pia watoto wasiwavuruge kwa upendeleo wenu
Wafundisheni upendo pande zote na pia mema
Amiin
 
Back
Top Bottom