Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Unadhani anaweza kua na jeuri hiyo mwezi mzima? Hakuna mwanaume wa kuhonga mke wa mtu kila siku bro. Mambo mengine tumuachie Ali Choki na kisa cha MpembaHuyo mke mwema sana, Wanawake wengine ukileta viazi unakuta kumepikwa kuku utachagua mwenyewe kuuliza alitoka wapi au ule ukalale. Ukiuliza alitoka wapi unapata na jibu kati ya yai na kuku nini kilianza.
Mkuu, Watu wananyang'anywa wake sababu ya pesa wewe unasema kuhonga? Hata hivyo vigezo na masharti kuzingatiwa, inategemeana na mambo mengi sana esp mwonekano wa mke husika.Unadhani anaweza kua na jeuri hiyo mwezi mzima? Hakuna mwanaume wa kuhonga mke wa mtu kila siku bro. Mambo mengine tumuachie Ali Choki na kisa cha Mpemba
Ndoa zifutwe....😹Dah nahisi kwenye ndoa kero na karaha ni nyingi kuliko furaha walahi.
Kweli mpka 2100 hakutokuwa na ndoa
Tatizo kununua na kubembeleza mbususu kila sik n jau sanaNdoa zifutwe....😹
Damn. Straight! Mwanaume lazima uweke msimamo...hataki asepe aone kama hajawa replaced very very soonYeye aliambiwa kuwa kama hawezi viazi na ugali mlango uko wazi aondoke.
Wazinzi utawajua tuuNdoa zifutwe....😹
We kila siku uko bize na kum* hauna kazi za kufanya bro?Tatizo kununua na kubembeleza mbususu kila sik n jau sana
Unadhani sijui hilo?Mkuu, Watu wananyang'anywa wake sababu ya pesa wewe unasema kuhonga? Hata hivyo vigezo na masharti kuzingatiwa, inategemeana na mambo mengi sana esp mwonekano wa mke husika.
Ili mwanamke awe na adabu juu ya yako ni razima atambue kuwa huogopi kupoteza chochote kwenye maisha yake akiwemo yeye mwenyewe na watoto ili asipate kichaka cha kujifichia kufanya uovu.Damn. Straight! Mwanaume lazima uweke msimamo...hataki asepe aone kama hajawa replaced very very soon
Hili nalo nenoIli mwanamke awe na adabu juu ya yako ni razima atambue kuwa huogopi kupoteza chochote kwenye maisha yake akiwemo yeye mwenyewe na watoto ili asipate kichaka cha kujifichia kufanya uovu.
Fafanua mheshimiwa….Mali na Watoto ni fitna
Zingatia hili na sio maneno yangu bali ni ya kitabu
Ni mtihani tuliopewa na wachache sana watafuzu hili.Fafanua mheshimiwa….
Kauli nzito sana hii, Asante kwa ufafanuzi.Ni mtihani tuliopewa na wachache sana watafuzu hili.
Mali kwa ujumla ni mtihani na inaleta fitna na uchonganishi kwa wengi wetu.
Watu wanauwana kwa ajili ya mali
Kuhusu watoto nao ni mtihani wa pili, kwenye familia nyingi unakuta watoto wakiwa upande mmoja labda kwa mama au baba na badala ya kufanya mambo mema zaidi
Mjitahadhari sana na Mali pia watoto wasiwavuruge kwa upendeleo wenu
Wafundisheni upendo pande zote na pia mema