Ni mtihani tuliopewa na wachache sana watafuzu hili.
Mali kwa ujumla ni mtihani na inaleta fitna na uchonganishi kwa wengi wetu.
Watu wanauwana kwa ajili ya mali
Kuhusu watoto nao ni mtihani wa pili, kwenye familia nyingi unakuta watoto wakiwa upande mmoja labda kwa mama au baba na badala ya kufanya mambo mema zaidi
Mjitahadhari sana na Mali pia watoto wasiwavuruge kwa upendeleo wenu
Wafundisheni upendo pande zote na pia mema