Yaani hawa viumbe hata siwaelewi shida ipo wapi! Au ndio mnatumia ile nadharia ya kwamba ninyi ni dhaifu hivyo mnaamua kufanya upuuzi kadri mtavyoweza?
Yaani unakuta dada wa watu mnakutana mnatongozana mnakubaliana lakini sasa unashangaa siku unamwambia umemiss unataka muonane hivyo lini na saa ngapi ana nafasi cha kushangaza hajibu kimya!
Sasa swali dogo kama hilo si ni kiasi cha kujibu tu lini na saa ngapi ana nafas au kama hataki aseme sina muda au kama anataka aseme basi lini