Wanawake, muwe wawazi kama hamuwezi au hamtaki kukutana

Wanawake, muwe wawazi kama hamuwezi au hamtaki kukutana

Yaani hawa viumbe hata siwaelewi shida ipo wapi! Au ndio mnatumia ile nadharia ya kwamba ninyi ni dhaifu hivyo mnaamua kufanya upuuzi kadri mtavyoweza?

Yaani unakuta dada wa watu mnakutana mnatongozana mnakubaliana lakini sasa unashangaa siku unamwambia umemiss unataka muonane hivyo lini na saa ngapi ana nafasi cha kushangaza hajibu kimya!

Sasa swali dogo kama hilo si ni kiasi cha kujibu tu lini na saa ngapi ana nafas au kama hataki aseme sina muda au kama anataka aseme basi lini
Mpwa hujatuma nauli kweli wewe?? Seems kuna kitu hujaandika hapa
 
Hata kama ana35 kuongezeka miaka sio kukua, ye asubiri tu akikua ataelewa.
Ww ndio wale wale wanga unatetea ushuzi wa mashoga zako eti unanukia wakat harufu chafu et nikikuwa ntaelewa ujinga ni ujinga tu na km kuna cha kunielewesha mnieleweshe sasa na sio mpaka nikue wazee na ndefu zao lkn bado wanawake wanasumbua umri sio hekima
 
Ukikua utaelewa.
Hv ww una umri gan ? Maana unajitia unajua ujawah kuona babu zima linaenda kununua malaya ata ukikua mpaka mvi uote haina maana mdio utawaelewa wanawake NO
 
Back
Top Bottom