Wanawake, muwe wawazi kama hamuwezi au hamtaki kukutana

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,081
Yaani hawa viumbe hata siwaelewi shida ipo wapi! Au ndio mnatumia ile nadharia ya kwamba ninyi ni dhaifu hivyo mnaamua kufanya upuuzi kadri mtavyoweza?

Yaani unakuta dada wa watu mnakutana mnatongozana mnakubaliana lakini sasa unashangaa siku unamwambia umemiss unataka muonane hivyo lini na saa ngapi ana nafasi cha kushangaza hajibu kimya!

Sasa swali dogo kama hilo si ni kiasi cha kujibu tu lini na saa ngapi ana nafas au kama hataki aseme sina muda au kama anataka aseme basi lini
 
Ungeanza kutuma meseji zile za :-

TIGOPESA:Hamisho la pesa limekamilika.Salio Jipya Tsh 108,650. Umepokea Tsh 103,650 Kutoka Tigo 0654400400 JONAS SAVIMBI ,Kumbukumbu ya Malipo.:765527571235.MN200713.1456.C65567 15/08/20 23:02

Baada ya hapo ndio uanze kuulizia utakuja saa ngapi? Kisha angalia kama hautojibiwa.
 
Mkuu una buku jero halafu unataka biriani la masaki...

Huwez kuwa serious,, INVEST
 
Kwahiyo maugwadu yako yamefika kichwani ikabidi uje utufokee wote? Tunahusikaje hapo sasa?
Hahaa Mimi nilidhani may atakuwa na point za maana kumbe ni utopolo mtupu


Kwani hakuelewa wahenga walipo sema hata ukimya pia ni jibu
 
Unatumia ujinga wako wa kupenda kutiana kuwaona wenzako hawajitambui.
 
Hahaa Mimi nilidhani may atakuwa na point za maana kumbe ni utopolo mtupu


Kwani hakuelewa wahenga walipo sema hata ukimya pia ni jibu
Kwa staili hii kwel kaz ipo sasa mkitelekezwa mnaanxa kulalamika na mnasahau madudu yenu km haya malipo ni hapa hapa dunian mbingun ni hukumu tu
 
Kwahiyo maugwadu yako yamefika kichwani ikabidi uje utufokee wote? Tunahusikaje hapo sasa?
Mnahusika kwa sababu nyiny ndio huwa mnashauriana sasa kwa uchunguz nimegundua huwa mnashauriana ujinga na ndio maana hampendan
 
Mkuu una buku jero halafu unataka biriani la masaki...

Huwez kuwa serious,, INVEST
Ndugu njaa mbaya yaan hawa wanawake wanaboa km mshatongozana mshakubaliana afu kuonana tu inakuwa kes nilicho gundua hawa njaa kal na kuliwa hawatak
 
Walivyo na njaa hawa mm hela situmi
 

Hujatumia 'in god we trust ' za kutosha kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…