Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Aka kuambia kuwa ni watu wa njee ndio wanataka kuichafua tzMimi niliachana na mke wangu tabia ya kupenda CCM.Anaweza kukubishia mpaka shida ya maji Dar.
Sasa huyo umemuoa bila kuzungumza naye mambo haya?Mimi niliachana na mke wangu tabia ya kupenda CCM.Anaweza kukubishia mpaka shida ya maji Dar.
Hapo ndo utajua kitimoto yupojeHakuna kitu kibaya sana kwa mwanamke kama kuwa mchafu.
Sana kakaHakuna kitu kibaya sana kwa mwanamke kama kuwa mchafu.
Ahaah conte…..Ko mwanetu ulidaka demu TikTok ukaweka ndani🤣🤣
Haina noma
AhahahKataa ndoa tupo tunawazoom tu.
Conte ndo nini mkuuAhaah conte…..
AhahahConte ndo nini mkuu
Duuh inasikitisha sana🙌Ahahah
na kutokujua kupikaHakuna kitu kibaya sana kwa mwanamke kama kuwa mchafu.
mimi nitakuwa wa mwisho kuamini eti we jamaa ni mwanaume!Imagen umemuacha mtu nyumbani toka asubuhi hakuna kitu amefanya unarudi zako home upumzike unakuta chumba kichafu hajabadili shuka zaidi kaongeza nguo kitandani ukiuliza nini tiktok anacheka kabisa et hoo leo nimechoka wakati ni tabia yake hii imekaaje ase?
Kweli wahenga wapo sahihi usichukue mwanamke wa tiktok ukaweka ndani.
we jamaa usichukulie kila kitu ni serious! The guy is just joking!Sasa huyo umemuoa bila kuzungumza naye mambo haya?
Enzi za wahenga Kulikuwa na TikTok mkuu? 😂.Kweli wahenga wapo sahihi usichukue mwanamke wa tiktok ukaweka ndani.